Tukumbushane: teanage Love

Tukumbushane: teanage Love

nachelewa huku nawekeza na kwingine..!

weeh.. nani aende mkavu mkavu hivyo!

nna vitoto vitatu kutoka uarabuni.. akizingua nabeba hivi vyoote!

We ni nooona ila angalia usije ukawa mteja wangu nina biashara ya majeneza siku hizi
 
We ni nooona ila angalia usije ukawa mteja wangu nina biashara ya majeneza siku hizi

nna mpango wa kuhamia dubai kwa muda...!

tende tamu atii! hawa vimwana hawajui kama kuna kitu kupiga pochi.. hatuombani pesa sie!

full kula tenda na mbalamwezi yatumulika!
 
sasa unaendeleaje?

naendelea vizuri ila nikimwona huyo mtoto kwa sasa ni mkaaa naona aibu sana jamani .... natamani siku nimuulize alivyonikojolea ni kwaba ndo alikuwa anapata raha au ni nini?
 
Unanikumbusha nilikuwa na staili ya kumtoa kwao cse baba ake alikuwa mjeda nikamwambia kila ikifika saa moja na nusu akisikia mluzii ajue niko nje atoke au akiskia jiwe limerushwa juu ya bati ajue mimii
 
. mkuu siwezi kung'olewa kucha hapo baadae kweli?

manake vitoto vyote hivi vinavaaga shungi, lakini vikiwa na mimi napata fursa ya kushika nywele aina zote!!

tatizo la vitoto vya kiarabu ni kaka zao wakikugundua, watakufanya mbaya, hawawapendi waswahili babu.
 
Unanikumbusha nilikuwa na staili ya kumtoa kwao cse baba ake alikuwa mjeda nikamwambia kila ikifika saa moja na nusu akisikia mluzii ajue niko nje atoke au akiskia jiwe limerushwa juu ya bati ajue mimii

duh! kweli uliamua kujitoa mkuu.
 
Mimi nilianza kut#mb#n# nikiwa sijaanza la kwanza duu!!! ila ni lidada limoja likuuuubwaa lilinidanganya ila cha ajabu nilikuwa sijui kitu lakini nilivyomlalia tu dah kidude kikapanda kwa speed ya light!!! hii kitu hiii kitu hiii kitu hiii
 
Ha!Ha! We Umeanza Kitambo Sana, Hilo Li Dada Noumer!
 
this makes me admire and love jf everyday,topic na comments zinazotelewa yaani ni full Raha kicheko %#http://
 
mie wakwanza kumpenda alikua ashachukuliwa na jitu zima flani naye alishindwa kumuacha,,kwa mwaka mzima nikawa nakula cha mtu....adi baadae nikaona sio ishu nikapata chombo kipya sealed....nikamuacha myfirst lavu pindi kaanza kunogewa na mimi.....
nikaehamisha moyo wangu kwa mmachame kitu mnato..ndo hadi sas nimekamatika🙂
 
Afadhari Yako Aujapitia Majanga Mkuu, Maana Hao Wengine Utafikili Muvi Za Kihindi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom