Tukumbushane: teanage Love

Tukumbushane: teanage Love

Duh!tokea primary?

besti nakwambia acha kabisa... hakuna mwanamke niliempenda for the firs time kama yule!

mpaka leo namsaka lakini haonekani..!

sijui bado ana barua yangu ama vipi?

ila nashukuru nilihama uo mkoa, nilipofika kanda ya ziwa ndipo nilipopata ngekewa ya kiarabu.. mmh!
 
Hahahaha umenichekesha eti ngekewa ya kiarabu.
 
Hahahaha umenichekesha eti ngekewa ya kiarabu.

nakwambia.. nilihamia mwanza bana kutoka dom!

ile kufika tu, nikashangaa tu watoto wareembo watatu mfululizo! sura za kiarabu! nywele zimeteremka mpaka katikati ya mgongo! du... sitasahau!

mmoja alikuwa singo, wawili walikuwa mapacha!

imagine mtoto wa kiume for the first time na ugeni wangu darasani natamkiwa officially eti TUMEKUPENDA!! (hao mapacha sasa!!)

badae tena akaja na huyu mwingine nae, kajimwaga kwangu.. mmh!
 
Mmmh!! hapana.. p/school nilikuwaga mmoja kati ya best students.. ila tatizo lilikuwa kwamba sipati muda wa kuongea nae!

nakumbuka siku moja niliagizwa kwao, mmh! nilitamani nisiondoke! yani alikuwa akiniangalia usoni, mi nahisi niko paradise..!!

basi bana siku hiyo nilimpata zawadi ya dinner yangu...!! binti kajilia chapati sincerely, then nikamuaga nikaondoka na maumivu moyoni!

usinikumbushe mkuu, na mimi kabinti s/msingi kakila kacholi zangu ndo ilikuwa furaha yangu, kwa kweli tulikuwa na upendo wa ukweli
 
Hahahahhhaa...jmn hv mbona me nlichelewa hzi mambo,
 
usinikumbushe mkuu, na mimi kabinti s/msingi kakila kacholi zangu ndo ilikuwa furaha yangu, kwa kweli tulikuwa na upendo wa ukweli

umeona eenh! afu unajihisi ndo ushamgegeda kabisa na nye.ge zinaisha!!!

mi mpaka leo nawatafura waarabu wangu watatu walionipenda kwa pamoja!

yani sijui wale watoto walikuwa na mashetani!!

imagine.. wote watatu wanajijua kabisa, tena wao ndo wananitongoza mimi!
 
Hata sitaki kuyakumbuka make nilikuwa kila nikiandika na kuandikiwa barua lazma zishikwe
kifuatacho ni stiki za paka mwizi aaaggggrrrrr!!!!
 
Hata sitaki kuyakumbuka make nilikuwa kila nikiandika na kuandikiwa barua lazma zishikwe
kifuatacho ni stiki za paka mwizi aaaggggrrrrr!!!!

hahahaaa!!! kazi ulikuwa nayo!

mi teenage love ilianzia darasa la pili kwa mtoto wa kitanga, nakumbuka ilikuwa nyuma ya mlango wa darasa, mida ya saa nne mapumziko!

baada ya hapo ni kesi za mapenzi tu maisha yangu yoote ya shule ya msingi.. sijawahi kamatwa!
 
umeona eenh! afu unajihisi ndo ushamgegeda kabisa na nye.ge zinaisha!!!

mi mpaka leo nawatafura waarabu wangu watatu walionipenda kwa pamoja!

yani sijui wale watoto walikuwa na mashetani!!

imagine.. wote watatu wanajijua kabisa, tena wao ndo wananitongoza mimi!

hilo litakuwa zali la mtende tu mkuu, we endelea kuwagegeda tuh.
 
hahahaaa!!! kazi ulikuwa nayo!

mi teenage love ilianzia darasa la pili kwa mtoto wa kitanga, nakumbuka ilikuwa nyuma ya mlango wa darasa, mida ya saa nne mapumziko!

baada ya hapo ni kesi za mapenzi tu maisha yangu yoote ya shule ya msingi.. sijawahi kamatwa!

duh! yaelekea ulikuwa unaangalia sana picha za kiindi, mapenzi ya akina amita bachan.
 
dah..... sitasahau!

barua niliyoandika kipindi namfukuzia mrembo wangu wa darasa la saba wakati niko la sita,

mpaka leo haijajibiwa!!!!!!!

nimepiga moyo konde... nimesikia mrembo wangu yuko ifm kwa sasa!

almost 9 years now!

Imekula kwako
 
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako

nachelewa huku nawekeza na kwingine..!

weeh.. nani aende mkavu mkavu hivyo!

nna vitoto vitatu kutoka uarabuni.. akizingua nabeba hivi vyoote!
 
hilo litakuwa zali la mtende tu mkuu, we endelea kuwagegeda tuh.

. mkuu siwezi kung'olewa kucha hapo baadae kweli?

manake vitoto vyote hivi vinavaaga shungi, lakini vikiwa na mimi napata fursa ya kushika nywele aina zote!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom