Tukumbushane: teanage Love

Tukumbushane: teanage Love

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
2,170
Reaction score
3,106
Nilikuwa Siwezi Kumwambia Mpenzi Wangu Jambo Lolote Linalohusu Mapenzi, Niliogopa Angeweza Kukasilika Ilinilazimu Kumuandikia Barua Haijalishi Kama Kila Siku Tunakutana Na Niliogopa Sana Kudai Majibu Ya Barua Hiyo Kwa Kuofia Kama Angetoa Jibu Lenye Malengo Hasi.

Siku Niliyovaa Nguo Mpya Nilijipitisha Mkabala Na Nyumbani Kwao, Lengo Anione Nilivyopendeza Na Kama Hajaniona Nitarudia Mchakato Huo Mpaka Niakikishe Ameniona Na Kama Ameniona, Nitaacha Kuzivaa Nguo Hizo, Sio Kama Sizipendi Bali Ni Hofu Ya Kuonekana Kama Sina Nguo Ya Kubadilisha.

Nilitumia Muda Mwingi Sana Kuwadanganya Marafiki Zangu Kuhusu Mahusiano Yetu, Mfano, Kuwaambia Kuwa Nishafanya Naye Mapenzi, Jinsi Ninavyopewa Zawadi Na Pesa. Hakika Nilihitaji Watu Wanotuzunguka Wajue Ya Kuwa Ninapendwa Hata Kama Mschana Wangu Alikuwa Ana Wazo La "Just Friend"

Ni Msichana Wa Kwanza Kumpenda, Na Nilimpenda Sana Ili Hakuwa Demu Wangu, Wakubwa Zangu Wakabeba Mzigo, Iliniuma Sana, Mpaka Leo Ninamkumbuka.

Ndio Hali halisi, Asilimia Kubwa Tumepitia Huku
 
wangu kalikua kembamba ila cta kwa cta anayaweza balah na cjawah kutana nae tena anaejua kumake luv km yule cku zote nataman sana itokee nipewe km yale nilokua napata kwake.....
 
wangu kalikua kembamba ila cta kwa cta anayaweza balah na cjawah kutana nae tena anaejua kumake luv km yule cku zote nataman sana itokee nipewe km yale nilokua napata kwake.....

Ha!Ha!Ha! Bora Yako Mkuu, Mi Niliktwa Naogopa Hata Kumpiga Busu, Niliishia Kumshika Mkono Tukitembea, Siku Niki Mhug Ujue Mmoja Wetu Katoka Safari, Iliniuma Sana
 
Ha!Ha!Ha! Bora Yako Mkuu, Mi Niliktwa Naogopa Hata Kumpiga Busu, Niliishia Kumshika Mkono Tukitembea, Siku Niki Mhug Ujue Mmoja Wetu Katoka Safari, Iliniuma Sana

post-56-001500000%201292068676_thumb.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom