Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
hukuwa unajua mtani wangu? lazima wewe ni mgeni hapa Yerusalemukumbe we ni wa Bomba mbili nyumbi hii bombi hii...
hukuwa unajua mtani wangu? lazima wewe ni mgeni hapa Yerusalemukumbe we ni wa Bomba mbili nyumbi hii bombi hii...
hahahah nina shaka wewe ni Mnyaki sema lugha inakupiga chenga...
"Naloli" maana yake" Ni kweli"
Hahahahahah! Hiyo ndiziii!! Hahah Ngoja Mmawia Lara1 aje akusaidie kuimega!!
Tusio na kabila mbonj maisha yatatushindj hapa ndani leo!
"Omwana wao chagega"Mayawee nulile ee mayawe nulile msani wao chagega
Yaani zingenogaje? Nasoma hapa nyimbo zenu im trying to make a tune. BAK best, unaweza kutumiwa kwa email ya jf ukatuwekea? Tukajiburudani kidogo. Najua you can do your magic.
kwa kweli he is missed, lol! BAK come this way
umewahi hudhuria sherehe zao? yaani utakula na kunywa kila unachotaka, inapofika swala la kuserebuka ni 0
hukuwa unajua mtani wangu? lazima wewe ni mgeni hapa Yerusalemu
Wala sio mnyaki, i just love local dances. Unawajua ladysmith black mambazo? Nazipenda nyimbo zao hadi watu wanadhania mie wa kwao. Zitafute, nzuri kweli.
Umeokota hapo tu kwenye ndizi. Lol. lara 1 sio mzungu kweli?
Wala sio mnyaki, i just love local dances. Unawajua ladysmith black mambazo? Nazipenda nyimbo zao hadi watu wanadhania mie wa kwao. Zitafute, nzuri kweli.
Sikamatiki wala nini, niko slippery kama kambale! Lol, ukiniona naucheza utasema wa kwao.
When did l say this, nafikiri umechanganya madesa. Thanks kwa kunistua kuhusu uzi huu anyway!
hapa inabidi Passion Lady na Lady doctor waniimbie nyimbo mbili mbili. mia