Tukumbushane njia rahisi za kumnywesha mtoto dawa

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,330
Naongelea watoto wachanga below 2years ambao hawapendi kunywa dawa. Tunafanyaje jameni ili waweze kupata dozi zao.
 
Watoto Kwa Asili Hawapendi Dawa
Lazima Mbinu Nzuri Hasa Nguvu Zitumike Apate
Haa😅😄😃😂😁😀
Town Mateja Wanaita Kidonge Bila Kujari Hata Kama Ya Maji
 
Dawa ni kumuomba dakital wake amubadilishie Dawa badala ya za kumya ampe za kuchoma sindano maana huwa zipo zote ni ww tu kuongea kuwa mwanangu anasumbua kunywa Dawa na atambadilishia.
 
Dawa ni kumuomba dakital wake amubadilishie Dawa badala ya za kumya ampe za kuchoma sindano maana huwa zipo zote ni ww tu kuongea kuwa mwanangu anasumbua kunywa Dawa na atambadilishia.
Sindano ni changamoto mkuu ukizingatia ztakua zamasaa itakubidi kila baada ya masaa kazaa umtembelee nesi pia sindano sio nzr sana kwa watoto wadogo hasa hawa tunawazungumzia hapa (below 2 yrs)
 
Back
Top Bottom