Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 976
Tumeshaimba sana huu wimbo, tatizo lenu especially nyie wavulana hamsikii..
Narudia kuwakumbusha mchumba hasomeshwi! Au ukiamua kumsomesha basi ni sadaka kwa Mungu wako!!
Usijipe guarantee kwa mchumba mwisho wa siku utaharibu future yako bure!!!
Kwa ufupi:-
Rafiki yangu aliyekuwa anaishi nje ya nchi huku akituma kuanzia tuition fee mpaka meals and allowance, alishatoa mahari na kuvisha pete ya uchumba kabla hajaenda ng'ambo ilikuwa mwaka jana mwezi June.. Wakawa wanawasiliana kwa simu tu.. Amerudi weekend. Kumpigia mchumba simu haipatikani, akanda nyumbani kwa wazazi wa binti...
Bahati nzuri akamkuta mchumba, ila hakuamini kumshuhudia mchumba ana mimba!!!
Hakuweza kuongea chochote dakika tano akadondoka chini!! Kumwahisha hospital, jana jioni ndio kafumbua macho
Huu ni ushauri wa bure