Tukumbushane mboga, matunda, vyakula na mapishi ya asili

Kule kwetu Undambani, Wali wa kutoezea kwa samaki( Ndungu, perege, njege , sulusulu,
ndipi, dagaa, ....);mchicha, bamia,kunde, matunda (maembe, mananasi, machungwa)
 
ukija pale moshi kuna vyakula kama kiburu,ng'ande,kitalolo ni balaa,kuna matunda kama kweme na viazi vikuu..dah home sweet home..
Kitalolo ni noma nilikuwa nasoma kibosho girls ukienda kwa bibj unakikuta kimrjaa tele ila nilikuwa sikiwezi aiseee
 
We Mushi tangu lini kweme zikawa matunda???Nwy umesahau mtori..machalari..kisusio...ugali wa ndizi...perege...miwa...zambarau...elimu...mbege...nzuga...
Nilikuwa nikitoka shule nanenepeshwa na kisusio.
 
Kule kwetu Undambani, Wali wa kutoezea kwa samaki( Ndungu, perege, njege , sulusulu,
ndipi, dagaa, ....);mchicha, bamia,kunde, matunda (maembe, mananasi, machungwa)

Umesahau mlamu kaliyandili, fulu,magama (Ludewa niliyakuta) miwa nailoni, bungala,kunguru,gugu,kalibwagila,samaki ngogo,
Pepeta hii kitu ya heshima sana
 
Kule upareni nilishawahi kwenda wana chakula chao cha ndizi / viazi wanachanganya na maharage kikitoka hapo ni kitamu balaa..ukiamua unakikoroga kinakuwa kama mtori...wanaita kishumba na kiombo kama sijakosea
 
Hivyo asili yake ni uchaggani
 
Kande,kitalolo,ngararimu,loshoro....hapo unakula na mishibili,ndizi na maparachichi...bila kusahau mchicha wa kienyeji na mnafu

love thé love or hâte thé love.....
 
Mbeya kuna mboga inaitwa nguniani, ni majani ya maharage, yakiungwa karanga ni matamu sana kwa ugali.
Pia kuna matunda kama masasati, makusu, mbula, numbu mapohora, mang'an'ga, bila kusahau migagi ya mahindi.
Hii nguniani ni tofauti na sombe ?

love thé love or hâte thé love.....
 
Kitalolo ni noma nilikuwa nasoma kibosho girls ukienda kwa bibj unakikuta kimrjaa tele ila nilikuwa sikiwezi aiseee
Hii kweli ya kichagga...na hata wamasai...
Kuna wamama wakimasai huwa wanauza kulee njia ya kuelekea mbuga ya Serengeti maeneo fulani hivi karibu na olduvai gorge.
 
Mbeya kuna mboga inaitwa nguniani, ni majani ya maharage, yakiungwa karanga ni matamu sana kwa ugali.
Pia kuna matunda kama masasati, makusu, mbula, numbu mapohora, mang'an'ga, bila kusahau migagi ya mahindi.
_ (21).jpg
 
Back
Top Bottom