Tukumbushane kidogo tu

Mathematics inaponichosha ni pale wanalijua jibu kabisa wanakaa kutusumbua Find x, kila swali Find x.
Kwani Kuna somo unalotafuta uibu lisilojulikana....bios chem na phy unafanya practical inayojulikana mpaka njia za mkato ili upate jibu
 
haha maths imezidi! hio x waliipotezea wapi maana kila swali find x
Mtu wa kwanza aliyewaza kutumia x inaonekana ni mzee wa minjunjano sio kirahisi akaacha heruf kuanzia A mpaka W akadili na X tu
 
Mathematics ni games ya kucheza na nambari, signs kwa kutumia kanuni.. Unapaswa ujue kanuni kisha ndio akili iweje kucheza hiyo game vizuri.
 
Mathematics inaponichosha ni pale wanalijua jibu kabisa wanakaa kutusumbua Find x, kila swali Find x.
Nilipoingia form one niliitukana hisabati kwa kuiambia 'Hisabati kumanyoko' ndiyo maana siijui hadi leo
 
Kwa kuangalia mtililiko kwenye hiyo karatasi uona mbona easy tu, njoo kwenye kanuni sasa macho yanakuwa hayaoni vizuri 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…