Tukumbushane katika kupost JF

Tukumbushane katika kupost JF

ANKA

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
16
Reaction score
7
Habar wapendwa, ku a baadh ya wadau wakiwa wanapost, mfano anatatizo anataka kusaidiwa jins ya ku root smartphone, yeye katika TOPIC TITLE anaandika *jinsi ya kuroot smartphone* alaf katika ku WRITE SHORT PARAGRAPH ndo anaandika naomba mnisaidie jinsi ya ku root smartphone. Guys ivo sio. Kwasabab mtu akiona topic title inasema ivo bas anajua kuwa Kuna kitu anaenda kupewa Lakin cha ajab anabak anashangaa coz alichokitegemea sio.
Kwa mfano kwenye TOPIC TITLE unatakiwa uanze na *Msaada jinsi ya ku root smartphone* kwahyo hapo nawakumbusha tu coz unakuta ukifungua hyo thread pengne inafungukia mbal sasa unapitia thread moja baada ya nyingne alaf unakuta kitu tofaut kabsa. Nashukur kwa watakao nielewa.
 
tatizo ni kwamba ukiandika mfano "msaada jinsi ya kuflashi simu " naapa hutopata watu angalau 6 watakao reply thread yako sababu kichwa cha habari kishajieleza ila ukiandika msaada nimekwma watu watajaribu kuisoma mada yako na gata kuchangia
 
tatizo ni kwamba ukiandika mfano "msaada jinsi ya kuflashi simu " naapa hutopata watu angalau 6 watakao reply thread yako sababu kichwa cha habari kishajieleza ila ukiandika msaada nimekwma watu watajaribu kuisoma mada yako na gata kuchangia
So weak....so unaamin ktk wengi wasomaji na watoaji wa michango isokua na faida????.

Nadhan, watu wawe wanaandika Km mtoa mada....ili atakayekuja kusoma aje yule anayeweza kusaidia nakija asoweza aje kujifunza.



NB...mimi siaminig ktk watu wengi wasokua na Faida, mimi naamin ktk wachache wenye faida.
 
Back
Top Bottom