Tukumbushane ilikua katika mazingira gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukumbushane ilikua katika mazingira gani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwali, Jul 7, 2012.

 1. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tafadhali weka maneno kwenye hii picha (wanaongea nini)
  I fetch it fromJF two years ago, kutest kumbu kumbu zetu
  Please be funny and creative, let's have a good weekend
  Interpretation yangu mwenyewe:
  Picha ya kwanza huo mkono wa dada uligusa vibaya
  Picha pa pili ikabidi hali ilio tokea ifunikwe na kofia
  [​IMG]

  [​IMG][​IMG]
   
 2. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Mwali ... picha haionekani .... iweke tena ili tuchangie
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hapo je?
   
 4. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijui ni tanga, kuna mwanamke mlemavu alipewa bajaji, wakati wa kampeni, .............................................kama nimekosea basi.
   
 5. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tumesema let's make it funny and entertaining ndugu yangu
  weekeend ya ku-enjoy ndio hii, ingine hadi next week tena.
   
 6. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Hizo soksi unazipata Karume machinga
   
 7. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  OK NIMEKUELEWA,...

  PICHA NO 1.

  '' enhee bibie za zikunyingi.........., kuku pata mpaka kampeni!...

  BIBIE: HE!  pICHA NO 2. wote: haha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha, yeye ni mtu wa watu bwana
  anavaa kama sisi, anaishi na maisha yetu
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Huyo mdada kashindwa kuficha hisia zake
   
 10. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Picha A.

  m/ke - siamini nimeketi na wewe hapa Mh. utamind nikiweka mkono wangu
  shingoni? mana naoana wazushi kibao hapa.

  Raisi - usiogope, wote wanajuwa wanawake wanaonivutia. watajua
  tu kuwa hapa nipo kikazi zaidi. huo mkono weka tu.

  Picha B.

  m/ke - unadhani najili basiiii?! mie hapa ni ukumbusho bab kubwa, mtaani watanikoma!
  kwa mangi pale dukani saizi naweza kopa bila kuweka rehani. Mh, kwa reputation yako
  nikiwaambia baadae ulinipigia simu tukaonana wataamini. hata nikigombea ubunge safari hii
  jimboni kwetu nashinda. nawaambia ndio anavotaka mheshimiwa raisi. neno la Raisi halipingwi.

  Raisi - teh teh teh ndio wanasemaga ivo eeh. bibie kumbe mjanja eeh? teh teh teh.
  kwani jina lako nani bibie, lips zako si haba. zina mvuto wa aina yake.
   
 11. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Picha A
  JK anawaza hapa kura zote za Walemavu Nazikomba.
  Hujambo bibie.....unashida gani. Unaweza hata kunikumbatia usiogope.

  Picha B
  Ohooo honey naomba Bajaji tu.
  JK, usijali utapata, ila usisahau kunipigia kura waambie Na wenzako
  Yaani umezipata wewe tena.
   
 12. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Mwali hapo poa!!! ... na si unaona sasa wadau wameanza kuchangia
   
 13. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  a; naomba unisaidie hela ya vocha kaka
  b;jamani kwann unakua mgumu kuelewa ivo kaka
   
 14. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  tena iyo ya pili ndio kabisa kashindwa kujizuia
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  halafu mwenzake anawaza kura
   
 16. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mwenzake yuko na uchu na madaraka sio
   
 17. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ndo manake,halafu umekuwa mkimya siku hizi aisee dah
   
 18. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hahahaha, Erotica umenivunja mbavu.
  Nimechekaje, yani kama namsikia vile
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Umeona Mwali, watu imagination wanazibani kisa wanajua tayari ni kilema.

  in short kama wapenzi vile, tungekuwa hatuwajui kila mtu angedhani hivo.

  come this way niku treat hizo mbavu....... mwaaaaaah.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hahahaha, CUTE mzima lakini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...