tunasubiri sasa P to P... From President to Prisoner!!
There are so many sinners around in this country.He has joined the club!From Priest to Sinner.
Hakuna uchafu katika kukomenti kwenye thread ya mtu.Yeye mleta mada kasemaKwanini unachafua Uzi wa Mdau,Mkuu?
Usiseme uongo, kiliitishwa kikao cha dharura cha wakuu wa SADC kuhusu hilo, soma post namba 9 nimeweka link.
Labda hukuifatilia hii habari na umekurupuka tu.