Tukumbushane: From P to P

Tukumbushane: From P to P

Nimemkumbuka baada ya kuona mauaji ya Wafrika Kusini kwa Waafrika wenzao.

Madiba alisamehe hata wazungu waliomfunga miaka 27, Waafrika wanashindwa ku share neema na Waafrika wenzao, kwa wazungu hawasemi hata kwi.
 
Nimemkumbuka baada ya kuona mauaji ya Waffrika Kusini kwa Waafrika wenzao.

Madiba alisamehe hata wazungu waliomfunga miaka 27, Waafrika wanashindwa ku share neema na Waafrika wenzao, kwa wazungu hawasemi hata kwi.

Mkuu nauliza tu, hivi Viongozi wetu wa AU au hata wa Kikanda kama SADCC wameshakutana na kuzungumzia hayo yaayotokea?
 

Photograph of Mandela sparring with professional boxer Jerry Moloi on the rooftop of the South African Associated Newspapers building in downtown Joburg, 1953.
​
 

I did not enjoy the violence of boxing so much as the science of it. I was intrigued by how one moved one's body to protect oneself, how one used a strategy both to attack and retreat, how one paced oneself over a match.
​
 
Mkuu nauliza tu, hivi Viongozi wetu wa AU au hata wa Kikanda kama SADCC wameshakutana na kuzungumzia hayo yaayotokea?

Hakuna watu wenye fikra pana humo, hata waafrika waliokufa na wengine kuokolewa hai wakivuka bahari kuelekea Europe hawajatoa tamko huku media za Europe zikiendelea kuzungumza kila siku.
 
Ahsante FaizaFoxy, Lakini ni kwetu ni watu tisa tu waliopoteza maisha? Maana ile dhahama haikuwa ya mchezo.
 
Hakuna watu wenye fikra pana humo, hata waafrika waliokufa na wengine kuokolewa hai wakivuka bahari kuelekea Europe hawajatoa tamko huku media za Europe zikiendelea kuzungumza kila siku.

Hii ni kweli sijawahi kusikia hata siku moja , sijui hata vyombo vya habari vya nchi hizo wahanga huwa vinarusha hizo habari za maafa ya Mediteranian kweli?
 
Soon to materialize, from P to P


AWA RAIS.jpg Dr W P Slaa, from Priest to President

cc FaizaFoxy, MUSSA ALLAN, Dkt Kilembwe et al.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna watu wenye fikra pana humo, hata waafrika waliokufa na wengine kuokolewa hai wakivuka bahari kuelekea Europe hawajatoa tamko huku media za Europe zikiendelea kuzungumza kila siku.

Usiseme uongo, kiliitishwa kikao cha dharura cha wakuu wa SADC kuhusu hilo, soma post namba 9 nimeweka link.

Labda hukuifatilia hii habari na umekurupuka tu.
 
Hii ni kweli sijawahi kusikia hata siku moja , sijui hata vyombo vya habari vya nchi hizo wahanga huwa vinarusha hizo habari za maafa ya Mediteranian kweli?

Msifananishe wanaopatwa na majanga baharini kwa kukimbia majanga ya Africa na hawa wanaouliwa ndani ya Afrika na Waafrika wenzao.
 
Huyo ni from P to S.

Tutolee ujinga huo hapa.
From P to S which means?
Omba mods waondoe huo ujinga uliouona maana mimi siuoni wala siwezi kuuondoa.
Peleka PM kwa Invisible au Report Abuse.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom