stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,385
- 3,494
Mpaka mwaka 3200 nitakuwa sijui mahali pa kuifanyia kazi hii formula katika maisha halisi, elimu yetu haina tofauti sana na ELIMU YA MJINGA tunasoma ili tujibu mitihani.
thats on your side ila ni vema ungetuliza tu mdomo maaana izi formular zina heshma kubwa sana dunia hii: ina maana ata jamii forum ungekua unaiskia sanduku la posta kama sio izi forumar