Tukumbushane 'formulas' tulizokuwa tunakariri shuleni

Tukumbushane 'formulas' tulizokuwa tunakariri shuleni

Poor........
Poor.....
Poor......
Lack of.....

Lack of.....
Lack of....

Hajaacha kuniwekea mafuta ya taa kwenye Ubwabwa
 
Geography, hayo ni majina ya sayari

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sio geography ni chemistry..Baada ya zile 20 chemical elements (Simple periodic table) ndo zinafuata hizi 21-30.
21.Sc..Scandium
22. Tin...Titanium
23. Vi..Vanadium
24.Cr...Chromium
25.Mn...Manganese
26.Fe....Iron
27.Co..Cobalt
28.Ni...Nickel
29.Cu...Copper
30.Zn....Zinc
 
Hii sio geography ni chemistry..Baada ya zile 20 chemical elements (Simple periodic table) ndo zinafuata hizi 21-30.
21.Sc..Scandium
22. Tin...Titanium
23. Vi..Vanadium
24.Cr...Chromium
25.Mn...Manganese
26.Fe....Iron
27.Co..Cobalt
28.Ni...Nickel
29.Cu...Copper
30.Zn....Zinc
Superb...Nimekupenda bure
Lovely mum
 
all people seems to need data processing
hiyo ni formula ya OSI network layer

application layer
presentation layer
session layer
network layer
data link layer
physical layer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SOTOCA
------------
H A H

Sine = Opposite/Hypotenus
Tan = Opposite/Adjacent
Cosine = Adjacent/Hypotenus
Talk abt Trigonometry..hii ilikua na afadhali
Kuna topics Adv Mathematics zilikua ny*oko sana khahhh
 
Hii sio geography ni chemistry..Baada ya zile 20 chemical elements (Simple periodic table) ndo zinafuata hizi 21-30.
21.Sc..Scandium
22. Tin...Titanium
23. Vi..Vanadium
24.Cr...Chromium
25.Mn...Manganese
26.Fe....Iron
27.Co..Cobalt
28.Ni...Nickel
29.Cu...Copper
30.Zn....Zinc
Watu mko vizuri aisee. Jizazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mwifwa unakumbuka chuma hiki?





Tuuite ubunifu sijui au ndio ilikuwa hamasa ya kilema cha kukariri?
Halafu kulikuwa na hii hii pia kwenye Biology MR FIGER (Movement, Reproduction, Feeding, Irritability, Growth, Execretion and Respiration) Elimu yetu kweli ya kipekee
 
Kuna ingne kwa wale mliosoma Chemistry form 3 Factors affecting discharge... kuna zile element ... ilikua Sungura Never Cry Before I Ohoo
 
Mbao za Mawe





Alafu Kuna ile ya geography
Mama
Venne
Egesha
Matako
Juu
,,,,,Hapo unazitaja sayari zote khaaaaa
 
Mama Veronica Ee Mama Jana Usiku Ulikuja Nyumban Pale
Mercury: ...
Venus: ...
Earth: ...
Mars: ...
Jupiter: ...
Saturn: ...
Uranus:
Pluto
 
Pyaar



Noma Sana, principle ya kwanza kukariri katika somo la physics ilikuwa ni" Archimedes principle" alooh mistari miwili tu Ila ilikuwa patashika.
Africa bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom