Tukumbushane ENZI ZA MDUNDIKO

Tukumbushane ENZI ZA MDUNDIKO

Enzi hizo mdundiko ukipita hata mtaa wa sita utalikisia tu timbili lake.
Mama anaacha sufuria jikoni anajitosa kwenye mdundiko.
Baba alikuwa chooni anakata gogo , kutokana na utamu wa mdundiko anatoka nduki kuufuata mdundiklo huku suari ikiwa magotini na mkononi ana kata ya kuchambia.
Watoto ndio usiseme, ukija kushtuka uko Gongo la Mboto wakati kwenu Tegeta.
Jamani mdundiko ulikuwa una raha yake. Nimezimiss sana zile zama za magoma moto ya MDUNDIKO
Gombs mpaka tegeta...duuh
 
Kamuacha mume waake kafwata mdundiko ahaa ahaa kafwata mdundiko...
 
Hahahah mdundiko ni noma sn hasa mitaa ya mikoroshini temeke watoto wng walikuwa wanapote kwa kufutilia msafara wa mdundiko.
 
Binafsi enzi hizo miaka ya 1997 nilikuwa tunaishi vingunguti na mdundko ulinifanya nkapotea na kupatikana jioni kabisa.
Nishukuru sana mimi niyekupeleka msikitini.
Ukatangazwa kuwa umepotea, wazazi wako wakakufuata.
Nakumbuka kwa heshima na shukrani wakanijia na kuniomba Jumapili niwe mgeni wenu,
Sitasahau pilau na jogoo mliyeniandalia.
 
Gombs mpaka tegeta...duuh
Mbona jirani sana hapo?
Mi nilishawahi kuvunja rekodi kwa kutembea.
Nilitoka Songea hadi Mwanza kwa miguu, nikipita njia za mkato.
Kiibaya zaidi kuna chaka niliingia nikaambiwa huku uliko ibukia ni Botswana, kidogo nizirai
 
pole sana Bujibuji maana wapiga ngoma za mdundiko ndio zao hawatumii pesa wala nguvu
 
Last edited by a moderator:
Nishukuru sana mimi niyekupeleka msikitini.
Ukatangazwa kuwa umepotea, wazazi wako wakakufuata.
Nakumbuka kwa heshima na shukrani wakanijia na kuniomba Jumapili niwe mgeni wenu,
Sitasahau pilau na jogoo mliyeniandalia.

hahaa hapana kwa kuwa mama yangu alkuwa ticha so kuna wanafunzi wake nilikutana nao ndio wakanipeleka nyumbani...
Sitasahaauuu mdundiko
 
Nahitaji huduma yako, najisikia naumwa Dr.

Arushaone kwani lazima utibiwe na Lady doctor
Si umtafute mganga anayetibu kwa kitabu, mizizi, matunda, vyakula, lamli, ndumba, na ambaye pia anauza dawa za kuongeza nguvu za kiume, dawa za kurefusha uume, dawa za kupunguza uume, dawa za kupunguza maisha, dawa zisizopimwa, dawa zisizo na viwango, dawa za magumashi, dawa za mapenzi a.k.a limbwata, dawa ya Babu wa Loliondo, dawa ya kuleta majungu ofisini hadi mtu afukuzwe kazi, dawa za kipanda uso kwa ajili ya wagonjwa Mtambuzi na ladyfurahia, dawa ya kuongeza nuksi na mikosi, radi za saivi na uwezo tofauti.
Huyu si mwingine ila Dr. Niguse Nikuumize Hata Kama Sikujui a.k.a MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Wapiga ngoma wa mdundiko wamegegeda sana dada zetu.
Yaani ile ngoma kama ina uchawi vile.
Binti anamkataa afisa wa BOT anataka mpiga ngoma wake

amu unahusishwa na ze duduz of wapiga ngoma wa mdundiko
 
Last edited by a moderator:
Arushaone kwani lazima utibiwe na Lady doctor
Si umtafute mganga anayetibu kwa kitabu, mizizi, matunda, vyakula, lamli, ndumba, na ambaye pia anauza dawa za kuongeza nguvu za kiume, dawa za kurefusha uume, dawa za kupunguza uume, dawa za kupunguza maisha, dawa zisizopimwa, dawa zisizo na viwango, dawa za magumashi, dawa za mapenzi a.k.a limbwata, dawa ya Babu wa Loliondo, dawa ya kuleta majungu ofisini hadi mtu afukuzwe kazi, dawa za kipanda uso kwa ajili ya wagonjwa Mtambuzi na ladyfurahia, dawa ya kuongeza nuksi na mikosi, radi za saivi na uwezo tofauti.
Huyu si mwingine ila Dr. Niguse Nikuumize Hata Kama Sikujui a.k.a MziziMkavu

mbona unanifukuzia wateja Bujibuji au umetumwa?
 
Last edited by a moderator:
jamani haya si sijui kama amesikia mwenzangu kuwa sisi tunatoa dawa ya kipanda uso mwambie aje nitamtibu bure bila hata senti tano yake
Arushaone kwani lazima utibiwe na Lady doctor
Si umtafute mganga anayetibu kwa kitabu, mizizi, matunda, vyakula, lamli, ndumba, na ambaye pia anauza dawa za kuongeza nguvu za kiume, dawa za kurefusha uume, dawa za kupunguza uume, dawa za kupunguza maisha, dawa zisizopimwa, dawa zisizo na viwango, dawa za magumashi, dawa za mapenzi a.k.a limbwata, dawa ya Babu wa Loliondo, dawa ya kuleta majungu ofisini hadi mtu afukuzwe kazi, dawa za kipanda uso kwa ajili ya wagonjwa Mtambuzi na ladyfurahia, dawa ya kuongeza nuksi na mikosi, radi za saivi na uwezo tofauti.
Huyu si mwingine ila Dr. Niguse Nikuumize Hata Kama Sikujui a.k.a MziziMkavu
 
amu unahusishwa na ze duduz of wapiga ngoma wa mdundiko

teh teh buji ujue mie wa kiswazi lakini duduzzaote zinazonihusu ni za matawi mbezi samaki,masaki
hizo duduz za mdundiko sizijui utamuwake ujue
 
amu kumbe na mimi niko kwenye list list ya wakandamizaji wako!!
 
Last edited by a moderator:
teh teh buji ujue mie wa kiswazi lakini duduzzaote zinazonihusu ni za matawi mbezi samaki,masaki
hizo duduz za mdundiko sizijui utamuwake ujue

amu kumbe na mimi niko kwenye list list ya wakandamizaji wako!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom