maisha ya Nyerere hayo kaptura ina midabwada chupi hatuvai hapo kwenye mdundiko ni dungadunga mpaka tunapotea majumba sita (ukonga) mpaka tandika kaburi mojaHahahah mdundiko ni noma sn hasa mitaa ya mikoroshini temeke watoto wng walikuwa wanapote kwa kufutilia msafara wa mdundiko.