Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Mkuu kama bado upo hai...pitia tena uzi wako kisha unipe mrejesho!...miaka kumi mbele!
 
Kila zamana kitabu chake na tunaokisoma kitabu husika ndiyo tunaoweza kuona athari za zama pita husika...nimepitia hapa miaka kumi mbele!(2008-2018)
 
Shikamoo!
 
Asante sana kwa post nzuri hii. Sidhani kama huyu Maganga alikuwa na akili timamu wakati anashiriki kwenye njama zile. Anapodai kuwa ule mgogoro wa Uganda ungetatuliwa kwa njia za kidiplomasia bila kupigana vita anakuwa too theoretical.
alikuwa sahihi perhaps!
 
Mkuu kama bado upo hai...pitia tena uzi wako kisha unipe mrejesho!...miaka kumi mbele!
Nipo hai ninadunda sana na wala usiniltafutie uchuro kwa swali hilo. Kuhusu viwanda naona sasa kweli nchi imeanza kujitambua kuwa haiwezi kuwa taifa imara ikiwa ni soko la nchi za nje tu. Kumekuwapo na kasi ya viwanda tena kama zamani.
 
Kwanini mzee Jumanne Ngoma akapewa nishani ya uvumbuzi then?
 
Kwanini mzee Jumanne Ngoma akapewa nishani ya uvumbuzi then?

Hii ni kama hadithi ya almasi kule Mwadui. Msukuma ndiye mvumbuzi lakini hiyo ikahama ikaenda kwa George Williamson.Ila siujui ukweli wa Tanzanite zaidi ya yule Mzee wa Mererani..
 
Sote tunajifunza Kiingereza na sote aghalabu hukosea "spelling" za lugha isiyo ya mama tunayoizungumza. Ni Bryceson na huyu bwana alikuwa anaongea Kiswahili vizuri sana. Alikuwa akifanya kampeni zake za Ubunge wa Kinondoni kwa Kiswahili tu. Zaidi ya yote alikuwa mlemavu wa miguu lakini aliweza kutembea. Watu walimpenda sana Bryceson. Tulikuwa na watu waliokuwa na ulemavu walisikia vizuri ukiwaita "Bryceson." RIP Derek Bryceson. Mwalimu Nyerere alimpenda sana Bryceson.
 
Safi sana Bryson
 
Mimi leo namkumbuka Baba wa Taifa, mwl. J.K. Nyerere akituasa juu ya kutofanya masihara na Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar. Alisema dhambi ya kuua Muungani haiwezi kukuacha salama awe ameuua Mtanzania Bara ama Mtanzania Visiwani, dhambi hiyo haitamuacha salama.
Maneno haya yanaelekea 'kuwatafuna' Wamarekani wa California ambao wanataka kujitenga na muungano wa majimbo ya Marekani. Nisikumalizie uhondo fuatilia habari hii hapa chini
====
Supporters of a long-running effort to see California secede from the United States have revamped their plans to include the creation of an “autonomous Native American nation,” which would encompass almost half of the new state.
‘Calexit’ supporters were given the go-ahead in April this year to begin collecting signatures to get the question of Californian independence on a special 2021 ballot. It will be no easy task, however, because supporters will need to collect 365,880 signatures in order to see the question put to a statewide vote.
Instead of simply seceding from the US, however, the new plans for Calexit involve creating a special Native American “autonomous nation” within the new independent state, creating a “buffer zone between between Donald Trump’s America and the new independent California Republic,” according to Yes California co-founder Marcus Ruiz Evans

‘Buffer zone’ for independent California: New Calexit plan would give Native Americans half of state
 
Tujitegemee,
Lakini Zanzibar na Tanganyika zikuwapo kwa karne bila shida yeyote
na hapakuwa na muungano wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…