Tukubaliane na hili

Tukubaliane na hili

Ndio maana sitaki urafiki wa karibu na wasichana kwani wanaweza kukupenda mapema na kukuharibia uhusiano wako

Hahahahaa.... It's possible kama unampigia simu unamuuliza eti umekula? Mara umeamkaje, pole na kazi akiumwa upo karibu...utapendwa tu..japo sio mara zote inatokea
 
Hahahahaa.... It's possible kama unampigia simu unamuuliza eti umekula? Mara umeamkaje, pole na kazi akiumwa upo karibu...utapendwa tu..japo sio mara zote inatokea
Mie nishaamua sipigi simu kwa mtu kama sina cha maana kuongea, siwezi kukupigia au kutuma sms kukuuliza kama umelala, umekula. Zaidi utaambiwa usiku mwema
 
Wanawake mnafundishwa,au mnalazimishwa kupenda? unaweza kupanda daladala ghafla ukavutiwa au ukamtamani mwanamke una omba contact zake anakupa una muapproach anakubali anakuwa mpenzi wako wakati yeye binafsi hakuwa na wazo lolote juu yako

Hivyo tukubaliane wanawake wanafundishwa na pia kulazimishwa kupenda

Hawa viumbe hawafundishwi wala kulazimishwa hii ni nature ya mwanamke kutongozwa,ebu waulize kama wapo ambao hawapendi kutongozwa,wanakesha kwa vigagula sababu hiyo chezea kutongozwa.
 
Ngoja nikaombe contacts na mimi nione kama atakubali
 
Back
Top Bottom