Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Basi imethibitka na heshima kwa katiba... kwa hiyo atakuja na Full package ya kisiwani (utamaduni) !!Tutafuata katiba!
Basi imethibitka na heshima kwa katiba... kwa hiyo atakuja na Full package ya kisiwani (utamaduni) !!Tutafuata katiba!
Hard copy ya nyembo zote tano ni za Bi. MALKIA wa UENGERZA (ex wakiloni) God save the queen !!Binafsi sina tatizo na mleta mada pamoja na historia aliyotoa lakini kwa sababu alikuwa na lengo la kutoa darasa juu ya wimbo wa taifa, alichopaswa pia ni kueleza hata kidogo namna tulivyocopy wimbo huo na ni nani alihusika kufanya hivyo lakini pia ni kwanini tuliamua kutumia wimbo huo. Na ni vipi nchi karibu tano zote zikopy wimbo huu? Habari za hati miliki zimekaa vipi katika hili?
Ahsante kwa ufafanuzi.1) SA wamekuwa na wimbo wao hata kabla ya mwaka 1994, huo wimbo ni tofauti kabisa na wimbo wa "sasa Nkosi sekelel", so SA tu hata bongo kabla ya uhuru kulikuwa na song tofauti kabisa sijui mungu msaidie malkia kama sikosei, then likapigwa chini.
2) Kuna vitu watu wengi wanachanganya, tune ya nkosi sekelel origin yake ni mwanamziki Joseph parry wa wales ikaja ikawa adopted na sontonga wa SA Enzi za 1897, baadae Tanzania wakaandaa wimbo kwa maneno yetu ya Kiswahili lakini kwa kutumia ile tune, hadi mwaka 1961 siku ya uhuru tukatumia wimbo wa mungu ibariki tukaondoa wimbo wa wakoloni, hivyo ukazidi kuchochea kasi ya mapambano ya kuondoa ukoloni Africa, hivyo mungu ibariki tune ikawa imeingia hadi nchi za Zambia/Zimbabwe wakitumia same tune but different words kulingana na makabila /lugha zao, so baada ya mwaka 1994 SA kapata uhuru nao pia wakapiga chini wimbo wao wa kikoloni na ndo wakaja na nkosi ambao haukuwa wimbo officially wa taifa, so walichofanya ni kutumia same nkosi tune na ku add maneno.
3) Kila nchi Kabla ya ukoloni kulikuwa na jeshi /police kila kitu, swali hapa je jeshi au police lilikuwa lina serve under for which interest? jeshi lilikuwa na lina serve black or white interests? kama lilikuwa lina serve under black interest je kulikuwa na sababu ya nchi za kusini kuomba hifadhi TZ? wanajeshi wengi ( weusi) wa SA walio fanikisha shughuli nyingi za uhuru SA walipata mafunzo Tz, Libya ,Nigeria na Zambia, ndo hao wakaja kuunda jeshi jipya baada ya mandela kuingia madarakani.
Mkuu soma vizuri, wimbo ulikopiwa kutoka nyimbo ya anc.SA Africa baada ya kupata uhuru chini ya mandela alikuwa hana uzoefu, kuna maafisa wa Tz waliopelekwa na serikali ya Tz kwa ajili ya maandalizi ya mandela kuchukua nchi, hata kutoa muongozo kwa mandela hata baada ya kuwa raisi. Baadhi ya vitu ambavyo walivifanya ni pamoja na kutoa mafunzo ya maandalizi ya siku ya kuapishwa kwa raisi mandela, kujifunza nyimbo zao za Taifa, bendera, bendi ,kutoa mafunzo ya awali kwa police/jeshi, gwaride na nk, mfano wimbo wa Taifa la Tanzania ulitolewa kwao ili waweze ku update , ili wapate wimbo wao wa SA, kilichofanyika wao SA badala ya ku update wakachukua kama ulivyo wakauweka katika lugha yao na kuimba kama ulivyo. Kwa nini huu wimbo wa Tz kwa sasa chimbuko lake linaonekana limetoka SA? kwanza SA imeendelea, watu wengi wako more aware kuhusu SA kuliko Tz, pili watu wengi wako aware na zaidi kuhusu story za SA na wanafuatilia mambo mengi ya SA kuliko Tanzania. Pili SA ina uwakilishi mkubwa kimichezo zaidi ya Tanzania ( rugby, Olympic, soccer, ) na kila wanapofanya hizo activities wimbo huimbwa na kujulikana. Tanzania haikucopy wimbo huu kutoka SA maana sisi tulipata uhuru mapema na tukaandika wimbo wetu kabla yao.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina wimbo wa taifa period.Komredi, wewe na wenzio mlikuwa mmevimbewa mkaanza leta vitu visivyo na tija na lililokuwa limewakutanisha, na hilo ndio unalojaribu lileta jamvini...!
...kwamba jamhuri ya muungano haina wimbo wa taifa?..."niwie radhi, ni imani nayoipigia saluti ya kidole cha kati"
Kwa taarifa yakoAcha uongo wewe, Kwanza unaonekana history ya south Africa hujui baada ya apartheid regime kuangushwa kwenye uchaguzi hakuna Kilichobadilika majeshi ni Yale Yale, uongozi wa nchi ndio uliobadilika, kumbuka kuwa Mandela alikua na uzoefu mzuri tuu maana alishakaa kwenye transition government for 5 years, makaburu walishajua kuwa ipo siku watatoka madarakani ndio maana waliwaaanda watu weusi kuongoza nchi, kilichochelewesha Mandela na wenzake wasipewe nchi mapema ni vinu vya nyulkia ambavyo South Africa ilikua inamiliki na hivi Declerk alikua hawaamini Akina Mandela walikua allied na viongozi Kama Gaddafi etc hivo hizi silaha zingeweza kuangukia mikononi mwao hivi ilibidi vinu viharibiwe Kwanza then ndio wakaja kupewa nchi.
Utakutana matusi yote, lakini Ukweli utabaki palepale. Wimbo wa taifa ni copy and paste kutoka wimbo wa anc.Ubaguzi wa imani na assumtion kuwa wimbo wetu unafavor din flan ndo upumbavu wa mleta uzi huu.
ujinga na upumbavu wakiimani ukimvaa mtu hujiona anaonewa kwakila jambo. kisha kuzusha yakijinga kwanjia yoyote yakifedhuri akitafuta kuungwa mkono na wapumbuvu wenzake.
Mungu ibariki TANZANIA, Dumisha uhuru na amani .....
South Africa.Samahani jamani, hivi kati ya Tanzania na SA ipi ilianza kupata uhuru wake
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote, ndio wimbo wetu wa Taifa.Wewe pia unatuambia, na unataka tuamini kuwa ati hatuna wimbo wetu wa taifa.....
...kwamba ni melody ya asili ktk kusini mwa afrika ndi sababu kuwa ati hatuna wimbo wa taifa?
Kinyesi!
Hakuna tatizo kuiga kitu cha Mwafrika mwenzetu. Lakini ukweli ni kwamba uli-copy and paste na sio kubuni mwenye.Kwani kuna tatizo gani kuiga kitu cha Mwafrika mwenzetu? Mbona hausemi kwamba Tanzania hatuna Sheria zetu wenyewe kwa maana zote ni British common law? Au kwa kuwa tumeiga kwa Mzungu ni sawa ila kuiga kwa Mwafrika mwenzetu unataka kupinga?
Soma vizuri, wakati nyie mnaiimba wimbo mwaka 1961, wenzenu walisha urekodi na hata kupata hatimiliki kabla ya mwaka 1933.Nadhan jamaa huna uzalendo tu manake tz ndo watunzi ndo wakwanza kupata uhuru kwa mara ya kwanza uliimbwa 1961 waat south haipo kwwnye raman kabisaaaa
Bado nasimama na kundi linalosema Tanzania kwa maana ya Tanzania kuwa hatuna wimbo wa Taifa. Hoja za utetezi ulizozitoa zilikuwa hazina mashiko.Na zikiimbwa nyimbo zote mbili (Mungu Ibariki Afrika; na Tanzania nakupenda kwa moyo wote), ni dhahiri kwamba huu wa pili ndio unasikika na kuhisiwa wa kizalendo kwetu. Ni wimbo wetu.
Tunes na lyrics ni moja ya misingi ya hatimiliki.Watanzania inabidi tujitahidi kuwa tunafikiria mambo ya maana kuliko kutumia muda kwenye keyboard kuandika mambo ambayo hayana maana yoyote. Wimbo wa Taifa lolote ni wimbo unaobeba mashairi yanazungumzia imani au pride ya nchi husika. Kwa vile wimbo wowote uni sifa kadhaa zikiwemo mdundo, mwafaka, mkong'osio na mashairi, cha muhimu katika wimbo wa Taifa ni yale mashari yake. Mdundo, mwafaka na mkong'osio na hata mashairi yenyewe vinaweza kuwa utunzi wa mtu yeyote hata ambaye siyo raia wa Taifa husika lakini mashairi yakawa yanalenga taifa husika.
Mtemi Milambo wa Tabora naye alikuwa na wimbo wake ukiitwa "oohh" chuma chabela mitwe", baadaye wimbo huu ulichukuliwa kuwa wimbo wa TANU "Oooh TANU yajenga nchi" na pia ukawa adopted kuwa wimbo wa KANU ya Kenya kuwa "Oooh KANU yajenga nchi" It is just a song, what matters are the lyrics.
Hakuna tatizo kuiga kitu cha Mwafrika mwenzetu. Lakini ukweli ni kwamba uli-copy and paste na sio kubuni mwenye.
Kuna shida hapa. Yaani unataka kutuambia kuwa, wimbo huu South Africa wameanza kuutumia baada ya Mandela kuwa Rais? Hata hili la Mandela kupewa mafunzo na Watanzania nalo linafaa kupelekwa chit chatSA Africa baada ya kupata uhuru chini ya mandela alikuwa hana uzoefu, kuna maafisa wa Tz waliopelekwa na serikali ya Tz kwa ajili ya maandalizi ya mandela kuchukua nchi, hata kutoa muongozo kwa mandela hata baada ya kuwa raisi. Baadhi ya vitu ambavyo walivifanya ni pamoja na kutoa mafunzo ya maandalizi ya siku ya kuapishwa kwa raisi mandela, kujifunza nyimbo zao za Taifa, bendera, bendi ,kutoa mafunzo ya awali kwa police/jeshi, gwaride na nk, mfano wimbo wa Taifa la Tanzania ulitolewa kwao ili waweze ku update , ili wapate wimbo wao wa SA, kilichofanyika wao SA badala ya ku update wakachukua kama ulivyo wakauweka katika lugha yao na kuimba kama ulivyo. Kwa nini huu wimbo wa Tz kwa sasa chimbuko lake linaonekana limetoka SA? kwanza SA imeendelea, watu wengi wako more aware kuhusu SA kuliko Tz, pili watu wengi wako aware na zaidi kuhusu story za SA na wanafuatilia mambo mengi ya SA kuliko Tanzania. Pili SA ina uwakilishi mkubwa kimichezo zaidi ya Tanzania ( rugby, Olympic, soccer, ) na kila wanapofanya hizo activities wimbo huimbwa na kujulikana. Tanzania haikucopy wimbo huu kutoka SA maana sisi tulipata uhuru mapema na tukaandika wimbo wetu kabla yao.
Asante sana na wewe piaUwe na weekend njema
Mwanahabari huru
aiseeeeeeeee kunakaukweli ndani yake acha kubisha bisha usichokijuadah! maandishi yote kumbe ni uwongo...bado nusu ningemwamini mtoa mada, kumbe uwongo!