Tukubali tukatae, Vyama vya CCM na CHADEMA vimekuwa kama Democrats na Republican kwa nguvu

Kwa Tanzania ya Leo vyama vyenye nguvu kubwa ni viwili CCM na Chadema tu, hao waliobaki ni vyama vya kwenye makaratasi au kwenye ma flash Kama Lissu alivyosema.

CCM ni Chama ambacho kina resources nyingi yaani watu na pesa, kinaweza ku mobilize watu National wise, na kina wanachama wengi, na kimeingia mpaka ndanindani.

Chadema ni Chama kikubwa pia, hakina Ruzuku ata senti Mia, Ila wanafanya shughuri zao kwa uzuri, wanawanachama wengi, ni Chama pekee kilichofanikiwa kuorganize na ku success kusajiri wanachama wengi kwenye digital platform. Kinajenga ofisi karibu Tanzania nzima. Ndo maana watawala wanakisumbua na kusumbua viongozi wake.

CCM Wana kiburi Cha kuwa na Dora, Chadema Wana kiburi Cha kuwa na support kubwa ya wananchi, hapa kila mtu anajiona mkubwa.

Kama uchaguzi ukiwa huru na haki, bila kura kuibiwa tutashuhudia matokeo Kama ya marekani utakuta CCM 51% na Chadema 49% au kinyume chake.

Chadema na CCM nyie ndo giant political parties hao kina ADC, ACT, CHAUMA, TLP, Ni vyama vya makaratasi

So kwenye any political activity,kikikosekana chama kimojawapo Kati ya hivyo, hiyo activity itakuwa irrelevant na itakosa publicity
Chadema inashindwa kuitoa CCM kwasababu ina represent Kanda ya Kaskazini kuliko kanda nyingine. Hili ni jambo watu wanaogopa kusema kwasababu hawataki kuonekana wabaguzi lakini lipo vichwani kwa watu. Wabadilike na waanze kujaza watu wa kanda nyingine kwenye uongozi wao na waonekane ni viongozi wenye nguvu si ma rubber stamp itasaidia sana kupata support toka kwa kanda nyingine la sivyo CCM itatumia sana hiyo karata kuwanyanyasa. Halafu jinsi Magufuli alivyowafanya ni ishara tosha Chadema hawana die hard fans WAKUTOSHA kama wanavyodai kwasababu wasingekubali kuzinguliwa vile.
 
Kwa Tanzania ya Leo vyama vyenye nguvu kubwa ni viwili CCM na Chadema tu, hao waliobaki ni vyama vya kwenye makaratasi au kwenye ma flash Kama Lissu alivyosema.

CCM ni Chama ambacho kina resources nyingi yaani watu na pesa, kinaweza ku mobilize watu National wise, na kina wanachama wengi, na kimeingia mpaka ndanindani.

Chadema ni Chama kikubwa pia, hakina Ruzuku ata senti Mia, Ila wanafanya shughuri zao kwa uzuri, wanawanachama wengi, ni Chama pekee kilichofanikiwa kuorganize na ku success kusajiri wanachama wengi kwenye digital platform. Kinajenga ofisi karibu Tanzania nzima. Ndo maana watawala wanakisumbua na kusumbua viongozi wake.

CCM Wana kiburi Cha kuwa na Dora, Chadema Wana kiburi Cha kuwa na support kubwa ya wananchi, hapa kila mtu anajiona mkubwa.

Kama uchaguzi ukiwa huru na haki, bila kura kuibiwa tutashuhudia matokeo Kama ya marekani utakuta CCM 51% na Chadema 49% au kinyume chake.

Chadema na CCM nyie ndo giant political parties hao kina ADC, ACT, CHAUMA, TLP, Ni vyama vya makaratasi

So kwenye any political activity,kikikosekana chama kimojawapo Kati ya hivyo, hiyo activity itakuwa irrelevant na itakosa publicity

Hakuna chama cha upinzani..tunagenge la mabrazameni wa kihuni…labda CCM ipasuke 2025 watuchezee drama ya kihistoria…watutolee strong candidate…watukumbushie Mrema alivyowatikisa CCM kipindi kile…
 
Magufuli asingeibia kura angekuwa hai Leo angekuwepo. Dhuluma aliyoifanya ndiyo iliyomuua.

Kama Kuna kiongozi atatumia mbinu na gholiba kama za jiwe life span yake itakuwa fupi.

Watu wema wote wapo mpaka Leo.

1. Kikwete yupo hadhurumu kura
2. Mwinyi yupo hata mtoto wake anaonekana ni mwema so atakuwepo.
 
CCM unawapa sifa za bure tu. Lini Democrats na Republicans wakachapisha makaratasi ya kura ya kupigia nyumbani na kuingiza kwenye vituo vya kura kwa ulinzi wa polisi? Lini waliengua wagombea wa upinzani maelfu kwa maelfu? Lini walizuia mawakala wa vyama vingine kwenye vituo vya kupiga na kuhesabu kura? CCM ni kundi la wezi. Usiwalinganishe na watu walistaarabika hivyo.
Kilichofanyika 2020 tutakiweka wazi 2025. Maana tukikitoa sasa 2025 mtakuwa mmesahau.
 
Kwa Tanzania ya Leo vyama vyenye nguvu kubwa ni viwili CCM na Chadema tu, hao waliobaki ni vyama vya kwenye makaratasi au kwenye ma flash Kama Lissu alivyosema.

CCM ni Chama ambacho kina resources nyingi yaani watu na pesa, kinaweza ku mobilize watu National wise, na kina wanachama wengi, na kimeingia mpaka ndanindani.

Chadema ni Chama kikubwa pia, hakina Ruzuku ata senti Mia, Ila wanafanya shughuri zao kwa uzuri, wanawanachama wengi, ni Chama pekee kilichofanikiwa kuorganize na ku success kusajiri wanachama wengi kwenye digital platform. Kinajenga ofisi karibu Tanzania nzima. Ndo maana watawala wanakisumbua na kusumbua viongozi wake.

CCM Wana kiburi Cha kuwa na Dora, Chadema Wana kiburi Cha kuwa na support kubwa ya wananchi, hapa kila mtu anajiona mkubwa.

Kama uchaguzi ukiwa huru na haki, bila kura kuibiwa tutashuhudia matokeo Kama ya marekani utakuta CCM 51% na Chadema 49% au kinyume chake.

Chadema na CCM nyie ndo giant political parties hao kina ADC, ACT, CHAUMA, TLP, Ni vyama vya makaratasi

So kwenye any political activity,kikikosekana chama kimojawapo Kati ya hivyo, hiyo activity itakuwa irrelevant na itakosa publicity
Mimi nawakubali sana CHAUMA
 
Binafsi nakataa mkuu ,CCM ilikua zamani ,KWa sasa nguvu ya dola Nikama TLP tu, tumeona uchaguzi wa 2020 mpaka wanafunzi wanavalishwa jezi zao ili kuongeza vichwa ,hakuna Chama pale

Chadema ndo Chama pekee tz kimepaki Kama Chama kuanzia maadili, uwajibikaji kama chama
 
Back
Top Bottom