Tukubali tukatae, Vyama vya CCM na CHADEMA vimekuwa kama Democrats na Republican kwa nguvu

Kumbe nabishana na tikiti, kwa upuuzi,uchafu na ushenzi wa mwaka jana afu we unaona Ni sawa Basi unastahili kuwa Mirembe
Hizi propaganda ni za muda mrefu sana hapa afrika, na imefikia hatua ya kutumiwa mpaka na kina Trump huko Marekani ila bahati nzuri haina msaada wowote kwa waanzishaji wa propaganda hizo maana watu wenye akili wanafahamu fika kuwa mfa maji haishi kutapa tapa, na huku kulalamika kuibiwa kura huku ukiwa hauna wanachama wa kukupigia kura kama tulivyoona kweny mikutano yao ndio kutapa tapa kwenyw.
 
CCM unawapa sifa za bure tu. Lini Democrats na Republicans wakachapisha makaratasi ya kura ya kupigia nyumbani na kuingiza kwenye vituo vya kura kwa ulinzi wa polisi? Lini waliengua wagombea wa upinzani maelfu kwa maelfu? Lini walizuia mawakala wa vyama vingine kwenye vituo vya kupiga na kuhesabu kura? CCM ni kundi la wezi. Usiwalinganishe na watu walistaarabika hivyo.
 
Sorry mkuu
 
Chadema ipi?
Hii ya gaidi?
Hii ya huyu jamaa alietafuna mamilioni ya makato ya wabunge wake, na michango ya wananchi masikini waliokichangia chama kwenye uchaguzi wakiamini zitatumika kujengea makao makuu ya chama, kumbe mwamba kazipeleka kilabuni kuziangamiza peke yake.

2528007_20200919_173148.jpg
 
Hizi propaganda ni za muda mrefu sana hapa afrika, na imefikia hatua ya kutumiwa mpaka na kina Trump huko Marekani ila bahati nzuri haina msaada wowote kwa waanzishaji wa propaganda hizo maana watu wenye akili wanafahamu fika kuwa mfa maji haishi kutapa tapa, na huku kulalamika kuibiwa kura huku ukiwa hauna wanachama wa kukupigia kura kama tulivyoona kweny mikutano yao ndio kutapa tapa kwenyw.
Kwani nimebisha Ni hivi Chadema Ni ka chama kadogo CCM ni Chama kubwa na CCM itashinda kwa 99%,,furahi Sasa
 
Hii ya huyu jamaa alietafuna mamilioni ya makato ya wabunge wake, na michango ya wananchi masikini waliokichangia chama kwenye uchaguzi wakiamini zitatumika kujengea makao makuu ya chama, kumbe mwamba kazipeleka kilabuni kuziangamiza peke yake.

View attachment 2055379
Si Chadema haipendwi Sasa why kila siku mnasumbuana nao Mara muwapige risasi mala kuwapa kesi za uongo
 
Chadema sio Chama kikuu cha upinzani sasahivi kina kiti kimoja bungeni ni sawa na NCCR, CUF, ACT WAZALEDO msijimwambafai mmeshaisha
Ukubwa wa chama hautegemei viti bungeni bali idadi ya wanachama, ACT haina base ground vijijini zaidi ya Zanzibar tena Pemba, hata watu wote wa Zanzibar including watoto wa shule wangekuwa wanachama wa ACT wahataifikia Chadema kwa idadi.
 
Back
Top Bottom