Vipi APPT-Maendeleo kiko kundi gani?Kwa Tanzania ya Leo vyama vyenye nguvu kubwa ni viwili CCM na Chadema tu, hao waliobaki ni vyama vya kwenye makaratasi au kwenye ma flash Kama Lissu alivyosema.
CCM ni Chama ambacho kina resources nyingi yaani watu na pesa, kinaweza ku mobilize watu National wise, na kina wanachama wengi, na kimeingia mpaka ndanindani.
Chadema ni Chama kikubwa pia, hakina Ruzuku ata senti Mia, Ila wanafanya shughuri zao kwa uzuri, wanawanachama wengi, ni Chama pekee kilichofanikiwa kuorganize na ku success kusajiri wanachama wengi kwenye digital platform. Kinajenga ofisi karibu Tanzania nzima. Ndo maana watawala wanakisumbua na kusumbua viongozi wake.
CCM Wana kiburi Cha kuwa na Dora, Chadema Wana kiburi Cha kuwa na support kubwa ya wananchi, hapa kila mtu anajiona mkubwa.
Kama uchaguzi ukiwa huru na haki, bila kura kuibiwa tutashuhudia matokeo Kama ya marekani utakuta CCM 51% na Chadema 49% au kinyume chake.
Chadema na CCM nyie ndo giant political parties hao kina ADC, ACT, CHAUMA, TLP, Ni vyama vya makaratasi
So kwenye any political activity,kikikosekana chama kimojawapo Kati ya hivyo, hiyo activity itakuwa irrelevant na itakosa publicity