britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,209
- 48,381
Wakati ndiye msema kweli. Ipo siku ccm itakua inasomwa kwenye vitabu vya kumbukumbu. Sio lazima wewe ushuhudieKila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
Tuna tatizo kubwa sana na mfumo wa fikra na maamuzi. Trust me.Sijui watu wengine hufikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili! Ccm gani unayoipa hadhi ya kuwa chama cha siasa?!
CCM ndio inapaswa iwe adui namba moja wa taifa hiliMaadui Wa Tanzania Ni:-
1 . Ujinga
2 .Umasikini
3 . Maradhi
Hakika mkuuTuna tatizo kubwa sana na mfumo wa fikra na maamuzi. Trust me.
Umesahau kuweka namba yako ya simuKila nikihangaza Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda ,Burundi, Msumbiji hata nchi nyingine za karibu sioni chama kama CCM
Watu ukosea na kuilinganisha CCM vyama vya uchochoroni
Kama Chadema, Au TLP, mnakosea sana maana CCM yapaswa kulinganishwa na vyama tawala vingine siyo vyama tawalwa,
Kwanini CCM ni Chama imara na chama chenye kuleta matumani kwa watanzania na wasio watanzania
1. Mfumo wa uendeshaji wa chama unaeleweka,
2. Muda wa uongozi wa mwenyekiti uko wazi kabisa
3. Ni chama pekee ambacho ubadirika kulingana na hali na mazingira, rejea kumpata Magufuli, na komtema Lowassa
4. Chama pekee ambacho kimesheheni watu wenye uwezo wa kuwa marais wa nchi hii zaid ya 50,
5. Kimesheheni wazee wenye busara na mipango sawa sawia
6. CCM inajipambanua katika kuufuta umasikini ulioachwa na mkoloni
7. CCM inaheshim, matumizi ya pesa zozote zile, hakuna mtu mmoja wa kutembea nazo mkononi
8. Huwezi kuikopesha CCM kutoka hela zako za mfukoni bila utaratibu
9.CCM imeasisiwa na baba wa bara la Afrika mwalimu JK Nyerere,
10. CCM ndo chama pekee kisichowaziba watu mdomo kwa kukosoana ndani kwa ndani, vyama vingine wenyeviti wana machungu mpaka wanapanda mezani wakati wa vikao kisa wamekosolewa,
Hii ndo CCM
True tukifaulu kuutupa baharini ule moto wa tambiko urudi ulipotoka ndo tutakapozaliwa upya wenye fikra mpya ndo itakuwa mwisho wa magamba.Wakati ndiye msema kweli. Ipo siku ccm itakua inasomwa kwenye vitabu vya kumbukumbu. Sio lazima wewe ushuhudie