englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hata sioni jamanii!
Utaona tu. Ulijua kwa Bishanga umepata haukujua umepatikana eti eeh. Mwenzio kaachwa na kachanga. Heri yangu sijasema.
Hata sioni jamanii!
hamia kwenye ulimwengu wa samsung galaxy s4
utannunulia eee!!
sema tu wataka ngapi...
nataka 8
loh! Wataka nifilisi wewe...hebu nipe address yako nikutumie kwa dhl au ems
ngoja nakutumia
hewalaaaa...
hulali tu!?
nakuhangaikia wewe...kutafuta simu 8 inabidi nisilale kwa siku 8...
njoo uzichukue nishazipata tayari...