Tuko wangapi na majibu yake...

Tuko wangapi na majibu yake...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Lile swali la "TUPO WANGAPI" nadhani tumeshapata majibu.
Juzi Rais alitangaza kuwa tupo 44,929,002.
Kwa hiyo tusisumbuane kuulizana tupo wangapi?
Kwa sasa nawaruhusu kuangaika kwa kua tuliambiwa "TUTULIZANE KWA KUA HATUJUI TUPO WANGAPI."
 
hahahahahaha!!!!!HONESTLY....!!!!umenifanya nismile kwa kweli na kunipunguzia msongo wa mawazo nliokua nayo.....!!!!!
 
Back
Top Bottom