Tuko pamoja wanajf kama mkwere na ufisadi

mpalu

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
2,521
Reaction score
876
WANAJF tuko pamoja sana kwenye forum hii ya kijanja nimekuwa nikiitembelea mara kwa mara sasa nimeona nijitupe uwanjani rasmi.Naomba ushirikiano wenu wakongwe pamoja na wachanga wenzangu.PAMOJA SANA
 
Karibu!
Mpalu unaonyesha una hasira na rasilimali za nchi yako!
lAKINI NIKWAMBIE, nategemea unayo kadi ya kupigia kura, basi soma taratibu forum hii utamjua wa kumpa kura yako 31/10/2010
 
WANAJF tuko pamoja sana kwenye forum hii ya kijanja nimekuwa nikiitembelea mara kwa mara sasa nimeona nijitupe uwanjani rasmi.Naomba ushirikiano wenu wakongwe pamoja na wachanga wenzangu.PAMOJA SANA

Sasa tukuambie 'karibu' au 'karibu tena'.....................:confused2:
 
Karibu!
Mpalu unaonyesha una hasira na rasilimali za nchi yako!
lAKINI NIKWAMBIE, nategemea unayo kadi ya kupigia kura, basi soma taratibu forum hii utamjua wa kumpa kura yako 31/10/2010

Nishamjua kitambo sina haja ya kusoma sasa kama kawa SLAA FOR PRES....BRO
 
Karibu!
Mpalu unaonyesha una hasira na rasilimali za nchi yako!
lAKINI NIKWAMBIE, nategemea unayo kadi ya kupigia kura, basi soma taratibu forum hii utamjua wa kumpa kura yako 31/10/2010

Mkubwa sina haja ya kukaa chin nshakaa kitambo nikafakari na kugundua kwamba kama nchi ha2wezi kuendelea chini ya chama cha kihuni. Salama yetu ni kukitoa madarakani tu na wakati ndio huu haina haja ya kusubiri. Haiwezikani nchi kama Rwanda wa2shinde...TUPA MAFISADI KULE.
 
Mpalu naona umekuja waluwalu kichizi.... dah, kweli mwaka wa uchaguzi mazee....
 
karibu!
mpalu unaonyesha una hasira na rasilimali za nchi yako!
lakini nikwambie, nategemea unayo kadi ya kupigia kura, basi soma taratibu forum hii utamjua wa kumpa kura yako 31/10/2010

ni wavivu wa kufikiri na wenye uelewa mdogo ndio wanaowapa hawa manyanga'u kura zao +wasio jipenda
 
sasa tukuambie 'karibu' au 'karibu tena'.....................:confused2:

vyovyote vile upendavyo cha msingi isiwe karibu ya kifasadi ......................................................nashukuru
 
mpalu naona umekuja waluwalu kichizi.... Dah, kweli mwaka wa uchaguzi mazee....

wana tuwe na uchungu na nchi yetu bila kuendeshwa na matukio
 
Mkwere na ufisiadi dam dam. mda wetu umefika wa kula bata. mkwere hana lake tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…