Tuko maji-joh........!!!!

Hapo kijijini mamako hana hela ya kuweka kibarua wa kulima we unamis use ka mshahara kako ka kwanza! Grow up be a man hao breweries wanabadilishana shift kuzitengeneza hizo! Mtakuja mfe! Mapapaa walishaacha
 
Hapo kijijini mamako hana hela ya kuweka kibarua wa kulima we unamis use ka mshahara kako ka kwanza! Grow up be a man hao breweries wanabadilishana shift kuzitengeneza hizo! Mtakuja mfe! Mapapaa walishaacha
First things first my folks hawapo kwa village wapo kwa villa, and second but not least sijaajiriwa nimejiajiri. Jitahidi kufikiri kabla hujacomment mkuu
 
Matangazo tu hayo mbona hakuna empty bottle yoyote hapo
Au mko maji bila kulewa sema umekusanya vipombe na vipesa vyako upige picha upate cha kupost jf[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tehteh..[emoji23] [emoji23] ... kwanza ni majuice tuu yamejaa. Ilo dompo m napiga alone na silewi
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Nahc muuza duka
Hata mm nimefikiri hilo maana sijaona Japo box la juice au can ya soda iliyofunguliwa nikawaza ni muuza duka la vinywaji amechukua baadhi akavipanga mezani na pesa ya mauzo kdg akatwanga photo!
 
Hako kamjamaa ni kauza duka, hizo pesa katupiwa na mteja kwa hasira na vinywaji kamsusia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…