Tukiwa tumejiandaa kutii kiu zetu

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
847
80
Jumamosi tumetoka na binamu zangu na wadogo zangu, tumeenda sehemu tukiwa tumejiaandaa kujirusha .

Tumeagiza vinywaji kila mtu kwa jinsi alivyo taka kutii kiu yake.

Tukiwa bado tunaendelea muhudumu akatokea "akina dada mmepata offer kutoka meza ile pale, but nyie watano mnaambiwa mbadilishe vinywaji ili hii offer itolewe"

Hii ni ustaarabu jamani?

Au hii imekaaje?
 
Inaelekea uliagiza cheap ones! Halafu ulitembea na mbuga ya Serengeti with you, teh.
 
Tunaambiwa tunywe bia badala ya wine na whisky.
Hatupenda sana
Jamaa hao ni economist wa kufa mtu!

1.Wine ni 2500/= per glass,
2.Whisky ni 1500?? per tot!
3.Bia ni 1500 per bottle!
Wakicheki mfukoni kunagomba...sa shida ya kudhalilika baa nini, wakati ni mahali pa kujenga heshima!
 
Jamaa hao ni economist wa kufa mtu!

1.Wine ni 2500/= per glass,
2.Whisky ni 1500?? per tot!
3.Bia ni 1500 per bottle!
Wakicheki mfukoni kunagomba...sa shida ya kudhalilika baa nini, wakati ni mahali pa kujenga heshima!

Mbaya zaidi kule tuliko enda wine glass 3000 whisky 2500 na dogo alijibebea ka box ka juice 7,500
 
Ndio tatizo, unataka kutoa ofa wakati mfukoni hakuna kitu, hao jamaa wana matatizo sana!

Tena makubwa mno,siye badae tukaamua kuwanunuliab wao bila mashart , wacha wapagawe na wachanganikiwe !
Move yetu aliwanyoosha waliomba msamaha kama watoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom