G guccio Senior Member Joined Feb 20, 2011 Posts 137 Reaction score 22 Dec 22, 2011 #21 5.Kama maswali yalikuwa magumu hivi ndo macho yetu yanavyohangaika darasani: (←_←π (→_→π(←_←π(→_→π Ile tu mwalimu akiingia gafla macho yanakuwa hivi: (↓_ ↓π Mwalimu akitoka kidogo: (←_←π (→_→π NADHANI HAPO NDO ILIKUWA MPANGO MZMA..
5.Kama maswali yalikuwa magumu hivi ndo macho yetu yanavyohangaika darasani: (←_←π (→_→π(←_←π(→_→π Ile tu mwalimu akiingia gafla macho yanakuwa hivi: (↓_ ↓π Mwalimu akitoka kidogo: (←_←π (→_→π NADHANI HAPO NDO ILIKUWA MPANGO MZMA..
L LAIDA New Member Joined Oct 10, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Dec 22, 2011 #22 hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, nimecheka balaa
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,304 Reaction score 21,727 Dec 22, 2011 #23 hayo ni macho tu, na shingo jee? Umenikumbusha w,funzi walioandika mabom kwenye ceiling fans, mwalim alipoona wanafunzi wanaangalia juu akajua kuwa wanaona joto, ile kuwasha fan anaona w,funzi wanazungusha shingo tu na bado macho juu
hayo ni macho tu, na shingo jee? Umenikumbusha w,funzi walioandika mabom kwenye ceiling fans, mwalim alipoona wanafunzi wanaangalia juu akajua kuwa wanaona joto, ile kuwasha fan anaona w,funzi wanazungusha shingo tu na bado macho juu