Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,136
- 4,298
Labda kwa kuwa kiswahili kimekuwa lugha ya mazoea katika midomo yetu lakini pamoja na hayo haimaanishi tukiache.
ukitazama kwa sasa wengi wanaamini kuwa kujua kuzungumza kingereza ndio kuelimika kwenye kwa sababu hata huko vyuoni elimu nyingi hutolewa kwa kingereza.
ukitazama hapa Jf utakutana na nyuzi nyingi za kufundishana kingereza lakini za kiswahili dah.
watu wanadhani kuwa wanajua kiswahili hali ya kuwa kinawapiga chenga kwa baadhi ya maneno ambayo pia tulipaswa tufundishane kwa wingi.
tusipothamini vya kwetu,hatutothaminiwa.