Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,478
- 283,879
Umeandika jambo kubwa sana .hata hapa ccm qamesha feli.. police sio wajinga
Kama unaamini ulichoandika basi ni vyema CCM iendelee hivi ili wapinzani washinde.Hii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete .
Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza wanaccm wenzake kujibu tuhuma za wapinzani kwa njia ya majukwaa ya kisiasa badala ya kutumia polisi , tuhuma ya kisiasa ijibiwe kisiasa badala ya kutumia polisi .
Ushahidi wa hivi karibuni uliotokea nchini Gambia unaonyesha kwamba kauli ile ya Profesa Kikwete ilikuwa sahihi kwa 100%.
Mytake - Uungwana ni vitendo .
Nisome vizuri mjomba .Hiyo kauli ilitolewa lini,,? Na tangu hapo imeleya matokeo gani?
Ruksa kujifariji lkn
Akili ipi?huyu jamaa mie namkubali sana, JK was a super leader! hana makuu, anatumia akili kuliko jazba na ubabe
Hujanielewa mkuu .Sasa mleta mada mbona kama unavuruga habari...!
Jk aliongea kwenge mkutano wa CCM hapa Tz..mfano wako na matokeo yake vimetokea Gambia...
Habari yako haina cohesion!
Kairudie mkuu
Nieleweshe mkuu!Hujanielewa mkuu .
Akili kubwa mnoAkili ipi?
ungekuwa unafahamu historia ya gambia bwana yahya jammeh alivyowafanya wapinzani ungemuelewa,Sasa mleta mada mbona kama unavuruga habari...!
Jk aliongea kwenge mkutano wa CCM hapa Tz..mfano wako na matokeo yake vimetokea Gambia...
Habari yako haina cohesion!
Kairudie mkuu
Nishamwambia anieleweshe mkuu!ungekuwa unafahamu historia ya gambia bwana yahya jammeh alivyowafanya wapinzani ungemuelewa,