Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,797
- 28,458
Mkuu kuna pesa zilitolewa na WB za ujenzi wa stendi na Masoko kwenye Halmashauri za Miji inakuwaje Bukoba hawakupata huku Miji kibao ilipata?Yaan kuhusu chama nadhani bukoba walishachoka.bukoba imengozwa na cuf, CCM na chadema but hakuna aliyeweza kujenga stendi.
Wa sasa kaingia CCM naye yupo kimya hata hasemi kitu chochote cha dharura sijui anaona kawaida