Tukisema stendi ya mkoa wa Kagera ni mbaya ni mbaya kweli. Sasa hapa utakanyaga wapi

Yaan stendi ya bukoba ina kila Aina ya tatizo.

Matope,mashimo ,ndogo,nyekundu na vumbi wakati wa mvua. Hakuna sehemu ya kukaa abiria,hakuna vyoo vya kutosha, sewage mbovu yaan kila Aina ya tatizo.

Na viongozi wako kimya
Nasisitiza bora hyo kuliko kule kwa wamakonde yaan huko ni shambani kabisaaa
 
Ile 800mil na ushee tulisikia ya ukarabati wa nyumba ya mkuu wa mkoa si wajenge hio stand? Au nyie wazee wa kaisho na katerero huko hamna vipaumbele?
Yaan inashangaza .wanatumia hela kumjengea mkuu wa mkoa nyumba Kali. Wakati watu wanakanyaga matope stendi
 
Yaan kuhusu chama nadhani bukoba walishachoka.bukoba imengozwa na cuf, CCM na chadema but hakuna aliyeweza kujenga stendi.

Wa sasa kaingia CCM naye yupo kimya hata hasemi kitu chochote cha dharura sijui anaona kawaida
eti kuhusu chama bukoba walishachoka. Poleni sana mzee stendi itajengwa muwe wavumilivu.
 
eti kuhusu chama bukoba walishachoka. Poleni sana mzee stendi itajengwa muwe wavumilivu.
Kwenye maendeleo ya mji wa bukoba hakuna kulaumu vyama vya siasa ngazi ya Jimbo. Bukoba hata ikiongozwa na chauma hakuna kitakachotendeka.

Tatizo la bukoba ni kutekelezwa na. Serikali kuu ambayo ipo inajenga Dar na sehemu ambazo hazina shida sana
 
Stendi inatisha
Screenshot_20210513-000536.jpg
 
Back
Top Bottom