Tukisema "no reform no election muelewe watz

Tukisema "no reform no election muelewe watz

MATOKEO YA KURA ZA MAONI UDIWANI VITI MAALUM - TARAFA YA CHIKUNDI:

  • Wajumbe Walitegemewa kupiga Kura - 2,530.
  • Wajumbe Waliopiga Kura - 2,147.
  • Kura zilizoharibika - 30.
  • Kura Halali - 2,117.

MATOKEO YALIYOTANGAZWA:

1.Fatuma Hussein Eriyo - 847

2.Beatrice Samuel Kambola - 774.

3.Jane Louis Kidando - 624.

4.Esta Shadrack - 591.

5.Neema Lihumbo - 485

6.Aisha Vitalis - 329

7.Lucy Matikiti - 319

JUMLA = 3,969

Hili

..chama kina mbumbumbu wengi siku hizi.

..hata mwenyekiti ni alipata zero form 4.
 
MATOKEO YA KURA ZA MAONI UDIWANI VITI MAALUM - TARAFA YA CHIKUNDI:

  • Wajumbe Walitegemewa kupiga Kura - 2,530.
  • Wajumbe Waliopiga Kura - 2,147.
  • Kura zilizoharibika - 30.
  • Kura Halali - 2,117.

MATOKEO YALIYOTANGAZWA:

1.Fatuma Hussein Eriyo - 847

2.Beatrice Samuel Kambola - 774.

3.Jane Louis Kidando - 624.

4.Esta Shadrack - 591.

5.Neema Lihumbo - 485

6.Aisha Vitalis - 329

7.Lucy Matikiti - 319

JUMLA = 3,969

Hili
Kwenye kijiji changu 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa waliojiandikisha ni 362, mgombea wa ccm alipata kura 1050, hadi mwenyewe akashangaa!
 
Halafu Zitto na Madereka wanadai watalinda kura....!! Kama CCM wenyewe hawawezi kulinda kura zao wenyewe kwa wenyewe ACT watawezaje...!!?

No Reforms No Election.
 
MATOKEO YA KURA ZA MAONI UDIWANI VITI MAALUM - TARAFA YA CHIKUNDI:

  • Wajumbe Walitegemewa kupiga Kura - 2,530.
  • Wajumbe Waliopiga Kura - 2,147.
  • Kura zilizoharibika - 30.
  • Kura Halali - 2,117.

MATOKEO YALIYOTANGAZWA:

1.Fatuma Hussein Eriyo - 847

2.Beatrice Samuel Kambola - 774.

3.Jane Louis Kidando - 624.

4.Esta Shadrack - 591.

5.Neema Lihumbo - 485

6.Aisha Vitalis - 329

7.Lucy Matikiti - 319

JUMLA = 3,969

Hili

ccm kilishakoma kuwa chama cha siasa!
 
Kwenye kijiji changu 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa waliojiandikisha ni 362, mgombea wa ccm alipata kura 1050, hadi mwenyewe akashangaa!
Aisee!

Mkuu walikumbuka sakata la Mzee Wassira?

Kuna sehemu alilalamika kwamba mgombea fulani mpinzani wake alipata kura 749 kati ya kura zote 271 !!!

Akaeleza kwamba kwenye kura zote, wajumuishaji ili kukwepa huo utofauti wa hesabu wakaweka moja nyuma ya idadi kamili ya kura zote, ikawa elfu na kitu huko.
 
Mwenzenu napenda sana kipindi cha uchaguzi lakini siwezi kwenda kupiga kura. Nakipenda kipindi hicho kwa sababu ya uwepo wa vioja vingi sana tena vingi kweli kweli,
Kwa mfano watu tuliowazoea wakipanda V8 kwa miaka mitano ikifika kipindi cha uchaguzi watapanda maguta, baiskeli, visaloon car, watagawa simu, na mambo mengine kedekede
 
MATOKEO YA KURA ZA MAONI UDIWANI VITI MAALUM - TARAFA YA CHIKUNDI:

  • Wajumbe Walitegemewa kupiga Kura - 2,530.
  • Wajumbe Waliopiga Kura - 2,147.
  • Kura zilizoharibika - 30.
  • Kura Halali - 2,117.

MATOKEO YALIYOTANGAZWA:

1.Fatuma Hussein Eriyo - 847

2.Beatrice Samuel Kambola - 774.

3.Jane Louis Kidando - 624.

4.Esta Shadrack - 591.

5.Neema Lihumbo - 485

6.Aisha Vitalis - 329

7.Lucy Matikiti - 319

JUMLA = 3,969

Hili
Ccm zijui akili walishazizika wapi, hata za kuvukia barabara hamnaga
 
MATOKEO YA KURA ZA MAONI UDIWANI VITI MAALUM - TARAFA YA CHIKUNDI:

  • Wajumbe Walitegemewa kupiga Kura - 2,530.
  • Wajumbe Waliopiga Kura - 2,147.
  • Kura zilizoharibika - 30.
  • Kura Halali - 2,117.

MATOKEO YALIYOTANGAZWA:

1.Fatuma Hussein Eriyo - 847

2.Beatrice Samuel Kambola - 774.

3.Jane Louis Kidando - 624.

4.Esta Shadrack - 591.

5.Neema Lihumbo - 485

6.Aisha Vitalis - 329

7.Lucy Matikiti - 319

JUMLA = 3,969

Hili
Kichwa pumbu
Hata mimi naweza kuandika huu upupu bladifaken
Weka hapa taarifa kamili na vielelezo....
 
MATOKEO YA KURA ZA MAONI UDIWANI VITI MAALUM - TARAFA YA CHIKUNDI:

  • Wajumbe Walitegemewa kupiga Kura - 2,530.
  • Wajumbe Waliopiga Kura - 2,147.
  • Kura zilizoharibika - 30.
  • Kura Halali - 2,117.

MATOKEO YALIYOTANGAZWA:

1.Fatuma Hussein Eriyo - 847

2.Beatrice Samuel Kambola - 774.

3.Jane Louis Kidando - 624.

4.Esta Shadrack - 591.

5.Neema Lihumbo - 485

6.Aisha Vitalis - 329

7.Lucy Matikiti - 319

JUMLA = 3,969

Hili
Haiko hivyo babu!!

Wachaguzi walitiki kwa wagombea 7 kwa wakati mmoja
 
Haiko hivyo babu!!

Wachaguzi walitiki kwa wagombea 7 kwa wakati mmoja
Kivipi, hebu eleza huo muujiza wako.
Unavyotaka kueleza wewe, hesabu ingekuwa tofauti kabisa na hizo tarakimu zilizowekwa hapo.
 
MATOKEO YA KURA ZA MAONI UDIWANI VITI MAALUM - TARAFA YA CHIKUNDI:

  • Wajumbe Walitegemewa kupiga Kura - 2,530.
  • Wajumbe Waliopiga Kura - 2,147.
  • Kura zilizoharibika - 30.
  • Kura Halali - 2,117.

MATOKEO YALIYOTANGAZWA:

1.Fatuma Hussein Eriyo - 847

2.Beatrice Samuel Kambola - 774.

3.Jane Louis Kidando - 624.

4.Esta Shadrack - 591.

5.Neema Lihumbo - 485

6.Aisha Vitalis - 329

7.Lucy Matikiti - 319

JUMLA = 3,969

Hili
Hili ndilo limefanya chama wajipange upya
 
Back
Top Bottom