Tukisema ligi ya EPL ndo kipimo Sahihi kwa Makocha na Wachezaji Tutakosea?

kama nani vile mkuu?mara ngap madrid wamemtaka Rooney kawatolea nje?uyu beki mbili wa Arsenal(bellerini)mbna kakataa kwenda Barca
hebu tupe mfano wako ni mchezaji gani bora hata Useme China kama rafiki yangu Diego costa.
1. Una miaka mingapi?
2. Wewe timu gani?
 
Yellow submarines......Ila ngoja tuone gemu la UEFA kati ya Sevilla mshindi wa nne laliga VS Leicester city Bingwa wa EPL.........nadhani hapa ndo utaona kuwa ligi ya EPL ni uchafu wa kutupwa
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
 
unazungumziaje wachezaji wa uingereza ambao wameshindwa kuprove kwenye ligi nyingine?

unazungumziaje timu za
uingereza kushindwa kuprove kwenye ligi ya mabingwa na europa.sevilla kila siku anachukua yeye na uefa madrid na barca wanapokezana kila siku kwanini timu za uingereza zinashondwa kuleta changamoto kama ni bora?
huwezi kuchukua kocha mmoja ambaye hajamaliza hata msimu mmoja ndiyo iwe kipimo chako.
jibu swali.mkuuu?
 
Mkuu tuzo zile sio sababu za kusema mchezaji ni bora SUAREZ Alishasema ziko Kibiashara zaidi.

Mfano goli bora mwaka huu mchezaji sijui katoka Singapore sasa mlete huyo mchezaji acheze Epl na goli lake bora.

Muulize Memphis Depay atakwambia Siri ya Epl katoka Eredivise mchezaji bora kakutana na mwotto wa Epl yuko hoi.

We unakutana na Mtu na Ngolo kantee anakimbia kuliko mpira unategemea nini?
dadadeki!
 
Mimi nadhani kinachowashinda timu nyingi za EPL kwenye UCL ni fixture zao. Fixture za EPL ni ngumu sana na hamna kupumzika kama ligi nyingine, so mda mwingi wachezaji wanachoka lakini epl ni the best aisee.

Hao spain au german wangekua na fixture ngumu kama epl wangeshidwa tu.
Epl.ipo nationality sna mkuu.

waingereza wana penda.sna ligi ya kwao kupita mashindano wengne yote ulaya.quote me.
 
Football inamawanda mkuu, mbinu anazotumia mwenzako sio utakazotumia wewe, nakubaliana na wewe ligi ya uingereza haina ufundi na hata wakikutana na wababe wa ligi nyingine wanahangaika Ila napenda ushindani wake hakuna timu kubwa wala ndogo ukizubaa unaliwa
Wewe sio mnafki.
 
hapa nimezungumzia Makocha na wachezaji sijataja ubora wa timu moja moja.

David berkam alitoka Man utd akaenda R.madrid bado akafanya vizuri,sawa sawa na Christian Ronaldo na pia Samir Nasri kuna Nzozi wote wanafanya Vizuri
Na Suarez.
 
yaani kocha bora ranieri lakin hakuna mchezaj wa timu yake aliyestahili kuingia kwenye kikosi cha dunia!?..inaingia akilin?..hivi kantelele hakufaa kuingia hapo,calwalker hakufaa,coutinho,sanchez,koscielny
sasa.ujue waigereza hawapendi.siasa za FIFA MKUU.

WaPo.kitaifa zaidi kombe.Lao ni.muhimu kupita kitu kingne hlo ujue,ndo kombe linalo waingiizia mapato mkubwa kupita hyo.UEFA YENU.ligi yenye hela.sna duniani.
wanaangalia waingireza.wangapi wame ajiriwa kupitia makampuni yanayoenda kuwekeza pale.
ukijua Hilo.utapata shida kuwa nini waingireza wanataka kupitia ligi Yao.
 
Atoke Barca aende wapi?

Watu hutoka timu ndogo na kwenda timu kubwa

Halafu umtoe Messi Barca aende timu gani sasa

Gaucho alitoka timu ndogo PSG na kwenda timu kubwa Barca

Halafu Blatter hachagui mchezaji bora ni makocha ,captain+waandishi wa habari

Messi ni mchezaji bora wa wakati wote tafuta magwiji,makocha ,wachezaji walichozungumza juu ya Messi

Kama Pedro, Sanchez ,ozil wana perform ndio Messi ashindwe mchezaji ambaye hata umkate vipi haanguki ..

Playmaker,mchezeshaji,mshambuliaji yani kila sifa anayo
aje uingereza umeambiwa mkuu
 
Rushwa ya Blatter haihusiani na Tuzo

Ndio maana tuzo zikitolewa majina ya wapiga kura na waliowapigia kura huainishwa

Halafu kungine Blatter ni mwanachama mwenye heshima Real Madrid
Nani kakudnaganya mkuu...?.ulimsikia golikipa.wa juvetus...2010.blatter ni facilitator
 
Magwiji wanaojua soka hawawezi gusa ligi ya EPL maana hailei vipaji mfano Ronaldinho, zidane, messi, Rinaldo delima, rivaldo, figo, kaka nk nk wote Hawa wameikimbia EPL na ndo maana sishangai EPL imetoa balon Dior mbili sijui moja
ukisali sna utaingia ufalume.wa Mungu ndicho unacho mainisha mkuu?
 
Back
Top Bottom