Tukisema ligi ya EPL ndo kipimo Sahihi kwa Makocha na Wachezaji Tutakosea?

ndio maana nkasema inaweza isiwe bora kwa ubora mnaoutaka ila ina ushindan kwa maana man cty vs everton bado ni mech nzur ya kuangalia kuliko kuangalia barcelona vs las pamas
ukingalia Barcelona na las Palmas utajua matokeo lazma barca anashinda 8
 
Uzuri wa EPL ukiitizama unajiuliza nani atashinda leo? La Liga uzuri wake unajiuliza Madrid leo atapata magoli mangapi na barca nae atapata mangapi? there is a reason why EPL inatizamwa sana, and that is it is Entertaining....

Nakubaliana na mtoa mada kuwa ligi ya uingereza ni kipimo kwa makocha, nilitizama mechi moja ya man city sijui na nani, mtangazaji akasema Epl makes Guardiola look like an average coach.

Asikudanganye mtu, Kocha ni 1 u, Legendary Sir Alex Ferguson, huyu jamaa aliichukua MAN UTD kwa lengo la kuondoa utawala wa Liverfools, kahakikisha Gerrard mpaka anamaliza soka anaishia kubusu CAMERA na sio EPL title!

Makocha walokuwepo saivi wao ni money spenders tu.......
 
Haha unachozungumza ni kweli timu kama Atletico inapaki basi lakini hupaki kwa wanaojua tu..

Ilivyokutana na Chelsea "EPL" ,Chelsea walipaki basi na kukandamizwa magoli 3..ndio ujue timu za EPL bado sana zibadilishe style zao
Mpira duara, anything can happen, natamani EPL na LA LIGA ziwe mixed japo for 3 seasons tuone, sio timu zinakutana UEFA katika miaka 10 mara moja afu unasema timu za huku nzuri kuliko za kule.
 
Hata ligi ya Zanzibar ina ushindani kama huo wa Epl lakini sio bora. Sasa kama unapenda ushindani kwa nini usifuatilie pia ligi ya Zanzibar.
Ligi ya zanzibar ina ushindani? wa nani na nani? Ligi haina mdhamini, timu hazijiwezi, mfumo wa ZFA mbovu, Timu zinanunua madaraja, mwaka mzima unapita hakuna ligi, spectators attendance mbovu, afu unasema ina ushindani? Is it entertaining? HELL TO THE NO!
 
02aef0566a3ba0709f0077b991e11100.jpg
 
Wachezaji unaowaona ni bora sana uingereza wakienda barca au madrid watakaa bench maisha yao yote.

Kila mchezaji anapambana ainue kiwango pale uingereza akacheze barca au madrid
kwa hiyo gareth bale na modric wanakaa benchi madrid ?
 
Back
Top Bottom