Tukisema haya kwa CHADEMA ni kosa?

Mmezidiwa kwa hoja Arumeru mnakuja na trivial issues zisizokuwa na uhusiano..! Msajili amesema kiwango kisivuke milioni 80.. CDM inacheza ndani ya budget hiyo.. Mnatakiwa muwaambie wana Arumeru kwa nini mmeshindwa kuwasaidia kwa miaka yote 50..

aisee unaakili mara mia nane ya mleta hoja yeye hakuwaza kafikiri kimagamba tu kuhusu helkopta mpe wenzake ni thinkers ,,,,,amekuja kishabiki umempa ya ukweli cdm wapo makini
 
Kumbeeee, na dipo hela ya ruzuku na Sabodo zinako ishia [dipo ndo nini? Au ndo kiswahili cha ccm? Ndo maana hatuwataki, mwaongea pumba na kwa bahat mbaya hata kiswahi hamjui, polen sana]

HIVI MNAJUA KAMA DHANA MZIMA YA GREAT THINKERS MMAIONDOSHA HAPA JUKWAANI? NI VEMA MKAJIBIZANA HOJA KWA HOJA KULIKO KUSHAMBULIANA BINAFSI, KAMA MWENZIO KAKOSEA KOSA LA KAWAIDA SI UPOTEZEE TU? SASA NA WEWE "KISWAHI" NDIO LUGHA GANI?
 
"Hii ni sawa sawa na mwanamke ambae anajifanya yuko juu kwa kupenda vitu vya gharama kumbe alikotoka kwenyewe kwao hawana uwezo huo".

KAMPENI NI USHINDANI NA USHAWISHI KWA KUTUMIA HOJA NA SIO MANENO YA KASHFA NA VIJEMBE, ILI HATA BAADA YA UCHAGUZI TUWEZE KUKAA PAMOJA KUJENGA NCHI YETU.

:lock1: :lock1: :lock1: :violin: :violin: :violin:
 
Wakati CDM walipokuwa wakizindua kampeni zao kwa mbwembwe za helikopta ambapo Mbowe alisema wazi kuwa helikopta hiyo ndio itatumika kwenye kampeni . Imedhihirika wazi kuwa helikopta hiyo inatumika mara chache sana na hili ni kutokana na hali mbaya ya kifedha ya chama ambapo uwezo wa kuigharamia kwa siku ni Tshs 10.87m, na chama hakina pesa na sadaka zinazotolewa kwenye mikutani ni kidogo na hazitoshelezi mahitaji ya kila siku. Kutokana na hilo basi, ndio maana cdm imeamua kuitisha fund raising ya dharura hapo trh 23.03.2012 ili kukiokoa chama My take : CDM mbwembwe mlizo zionyesha siku ile kumbe uwezo wenyewe hamna. Hii ni sawa sawa na mwanamke ambae anajifanya yuko juu kwa kupenda vitu vya gharama kumbe alikotoka kwenyewe kwao hawana uwezo huo.

hakuna tatizo dume la mbegu, kuanza kwa vishindo ni kuwa alert watu kumbenao wanaweza!
 
Wakati CDM walipokuwa wakizindua kampeni zao kwa mbwembwe za helikopta ambapo Mbowe alisema wazi kuwa helikopta hiyo ndio itatumika kwenye kampeni . Imedhihirika wazi kuwa helikopta hiyo inatumika mara chache sana na hili ni kutokana na hali mbaya ya kifedha ya chama ambapo uwezo wa kuigharamia kwa siku ni Tshs 10.87m, na chama hakina pesa na sadaka zinazotolewa kwenye mikutani ni kidogo na hazitoshelezi mahitaji ya kila siku. Kutokana na hilo basi, ndio maana cdm imeamua kuitisha fund raising ya dharura hapo trh 23.03.2012 ili kukiokoa chama My take : CDM mbwembwe mlizo zionyesha siku ile kumbe uwezo wenyewe hamna. Hii ni sawa sawa na mwanamke ambae anajifanya yuko juu kwa kupenda vitu vya gharama kumbe alikotoka kwenyewe kwao hawana uwezo huo.
Asante sana kwa kuwa kumbusha kuwa kesho tuna fund raising pale Naura kuanzaia saa moja jioni mpaka saa nne ya usiku kwa wote wapenda mabadiliko mna karibishwa sana.....
ni kweli chama hakina pesa na haki tumii pesa ya wananchi kama wanavyo tumia CCM...
 
"Hii ni sawa sawa na mwanamke ambae anajifanya yuko juu kwa kupenda vitu vya gharama kumbe alikotoka kwenyewe kwao hawana uwezo huo".

KAMPENI NI USHINDANI NA USHAWISHI KWA KUTUMIA HOJA NA SIO MANENO YA KASHFA NA VIJEMBE, ILI HATA BAADA YA UCHAGUZI TUWEZE KUKAA PAMOJA KUJENGA NCHI YETU.

:lock1: :lock1: :lock1: :violin: :violin: :violin:
Na kweli tumeshuhudia hoja nyingi sana kutoka CCM
1.Vicent Nyere siyo ukoo wa Mwalimu JKN
2. Mchagueni SIOI aweze kusaidia familia maana ameachiwa mzingo....
 
mbona unamshambulia yeye binafsi? Kama kaongea pumba si umjibu kwa hoja tu?

Pumba hujibiwa kwa pumba...mavi kwa mavi.....huna haja kumjibu mtu alie leta mavi kwenye sinia huku akijua haya ni mavi...
 
Pesa zilizopo ni za kumlipa per diem yaya wa Junior tu! Changieni jamani acha ubahiri!
Acha tumchangie tutengene kamanda wa kesho asije akawa zezeta kama Mwanaasha au SIOI anae gombea jimbo asilo lijia yaani hajui kama ni mkoa au ni wilaya sasa sijui alikuwa anagombea ukuu wa mkoa wa Arumeru Mashariki...
 
wakati cdm walipokuwa wakizindua kampeni zao kwa mbwembwe za helikopta ambapo mbowe alisema wazi kuwa helikopta hiyo ndio itatumika kwenye kampeni . Imedhihirika wazi kuwa helikopta hiyo inatumika mara chache sana na hili ni kutokana na hali mbaya ya kifedha ya chama ambapo uwezo wa kuigharamia kwa siku ni tshs 10.87m, na chama hakina pesa na sadaka zinazotolewa kwenye mikutani ni kidogo na hazitoshelezi mahitaji ya kila siku. Kutokana na hilo basi, ndio maana cdm imeamua kuitisha fund raising ya dharura hapo trh 23.03.2012 ili kukiokoa chama my take : cdm mbwembwe mlizo zionyesha siku ile kumbe uwezo wenyewe hamna. Hii ni sawa sawa na mwanamke ambae anajifanya yuko juu kwa kupenda vitu vya gharama kumbe alikotoka kwenyewe kwao hawana uwezo huo.
nitangulize samahani kama nitawaudhi wana jf na mtoa mada kwa maana jf si mahala pa kuudhi watu. Baada ya hayo naomba nitofautiane na mtoa mada kwa mawazo butu kabisa yanayo shabikia matumizi israfu ya mali za umma. Nilitegemea ukemee wanaotumia fedha nyingi katika kampeini ikiwemo helkopta na sio kubeza wasiotumia fedha nyingi na helkopta. Helkopta inawasaidia nini wana arumeru? Kama huna maoni ya maana vema ukasoma maoni ya wengine na kuondoka. Ndo maana huwezi hata weka jina halisi bali la kihuni maana ulijua huna la maana la kuandika.
 
Wakati CDM walipokuwa wakizindua kampeni zao kwa mbwembwe za helikopta ambapo Mbowe alisema wazi kuwa helikopta hiyo ndio itatumika kwenye kampeni . Imedhihirika wazi kuwa helikopta hiyo inatumika mara chache sana na hili ni kutokana na hali mbaya ya kifedha ya chama ambapo uwezo wa kuigharamia kwa siku ni Tshs 10.87m, na chama hakina pesa na sadaka zinazotolewa kwenye mikutani ni kidogo na hazitoshelezi mahitaji ya kila siku. Kutokana na hilo basi, ndio maana cdm imeamua kuitisha fund raising ya dharura hapo trh 23.03.2012 ili kukiokoa chama My take : CDM mbwembwe mlizo zionyesha siku ile kumbe uwezo wenyewe hamna. Hii ni sawa sawa na mwanamke ambae anajifanya yuko juu kwa kupenda vitu vya gharama kumbe alikotoka kwenyewe kwao hawana uwezo huo.

Tatizo hujui kuwa pesa wanazotumia CCM ni za watanzania wanyonge walioibiwa na CCM na sasa wako fukara. Kwani Arumeru watu wanaonyeshana uwezo wa fedha (tena za CCM ni pamoja na zako ulizoibiwa, kupitia ufisadi) au wanapambana kwa sera. Kama huna cha kusema si upumzike tu
 
Wakati CDM walipokuwa wakizindua kampeni zao kwa mbwembwe za helikopta ambapo Mbowe alisema wazi kuwa helikopta hiyo ndio itatumika kwenye kampeni . Imedhihirika wazi kuwa helikopta hiyo inatumika mara chache sana na hili ni kutokana na hali mbaya ya kifedha ya chama ambapo uwezo wa kuigharamia kwa siku ni Tshs 10.87m, na chama hakina pesa na sadaka zinazotolewa kwenye mikutani ni kidogo na hazitoshelezi mahitaji ya kila siku. Kutokana na hilo basi, ndio maana cdm imeamua kuitisha fund raising ya dharura hapo trh 23.03.2012 ili kukiokoa chama My take : CDM mbwembwe mlizo zionyesha siku ile kumbe uwezo wenyewe hamna. Hii ni sawa sawa na mwanamke ambae anajifanya yuko juu kwa kupenda vitu vya gharama kumbe alikotoka kwenyewe kwao hawana uwezo huo.
Hii thread yako nimeipenda sana, imenifanya nikumbuje jambo moja la msingi sana. Maisha halisi ni kuishi uwezavyo kutokana na nguvu zako, kinyume chake maisha ya maigizo, ambayo sio stahili yako. Helikopta sio show game kama wengi wetu tunavyodhani bali ni chombo ch kufanyia kazi kiufanisi zaidi. To be honest in order to achieve the best results, you have to have the most effective and efficient planning with high consideration of time which is a very limited factor. And for the cost, is one of the leading parameters towards successive project. Hawa jamaa wana watu waliokwenda shule bwa mdogo, sio kila siku kurusha helikopta kama mazuzu, bali hupima mchakato na mahitaji na muda. Pia harambee ni dhana iliyo na mashiko zaidi, kwani unapima uungwaji mkono wako zaidi ya dhana ya kimasikini uliyoijenga. Kwa thread yako utaona kwamba CDM ni chama kinachofikiria maisha ya baadae zaidi kuliko CCM ambao wako tayari kutumia kila walichonacho kushinda uchaguzi kama vile baada ya uchaguzi hakuna maisha.
NAKUSHAURI NDUGU YANGU MAISHA NI YAKO WEWE, WALA SI YA KUIGA MTU MWINGINE, JUST LIVE YOUR LIFE!
 
ccm wameambiwa wamchague siyoi ili alee familia yake.hivyo ccm wanahaki ya kumwaga ***** wao ili jamaa alee familia.
 
Back
Top Bottom