Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

Hi mada ni ngumu sana ila nashukuru nimejifunza kitu muhimu sana

1) Mwili upo nyuma ya muda yani mwili ndio unafuata muda yani past ,present and future

2)Roho haifuati muda na ipo mbele ya muda ndio maana unaweza ukaota msiba utakao tokea siku 2 au 3 mbele yani hapa tayari Roho inakujulisha kuwa kuna msiba utatokea muda ukifika unatokea kweli

Au unaweza ukaamka asubuhi ukaona mkono wako wa kulia au kushoto unawasha hapa Roho inakuambia kuwa Leo utapata pesa au utatoa pesa na kweli muda ukifika hilo tukio linatokea

Conclusion yangu ni kwamba Roho ndio ilianza kuumbwa baadee ukafuata muda na baadae ukafuata mwili

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Wakati ujao ni wakati baada ya zamani na sasa. Kufika kwake is considered inevitable due to the existence of time na sheria za kifizikia.
nu sawa kabsa una vyozungumza ila future ina baki kuwa jambo ambalo sio reality ni dhana tu
 
Sayansi na baadhi ya mambo yasiyoonekana ni ngumu kuiwekea uhusiano wa kweli
 
nu sawa kabsa una vyozungumza ila future ina baki kuwa jambo ambalo sio reality ni dhana tu
Mimi ninachoamini uhalisia wa future unaonekana na kujidhihirisha kwenye past, yaani baada ya kuisha muda wake ndio utaouona...so
Kulingana na wewe naweza kukubali na pia kukataa
--------------------------------

Kuna jina moja limenitoka, ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa Albert eistein,
Yeye alikuja na 4 dimension yake kuipinga ile ya 3 dimension ya eistein kuwa

"matukio ya past na future yote ni ya kweli sawa.
Kwa sababu ya hili, hakuna wakati maalum unaoitwa "sasa"/present.

"There's no moment that is happening now".

Mtu anaweza kusema kuwa nothing is "happening" and there's nothing "becoming".
Hii ikiwa na mantiki ya kuwa Kila kitu, kutoka kwa vitu hadi matukio, kipo tu.
Na akamalizia kwa kusema
Our definition ya "sasa"/Now haipo katika Eternalist universe
-----------------------------
Huyo Mr.aliniacha na maswali mengi sana maana past na future vyote ni sawa kama alivyoelezea.
Ila kifikra zangu naona kabisa huwezi kuiona future bila kuanza na present/now, kisha present inageuka kuwa past hapo ndio ndomana nilisema kuwa sura iliyokuwa ya future ndio sura itakayoonekana kwenye past.

Sasa kwanini present isihusike hapo..?
 
Ka
nu sawa kabsa una vyozungumza ila future ina baki kuwa jambo ambalo sio reality ni dhana tu
Kama sio reality kwanini future hutokea sasa ?

Sikia, kilichokufanya useme hivyo pengine hujajua uhalisia wake unafanya reflection kwenye past..
Mf" siku uliyofunga ndoa ilikuwa ni ( future ) hukuweza kujua itafananaje ,ikafika na ukafunga ndoa (present) leo unaiona imekuwa( past ).... so ule muonekano wake wa ufuture umegeuka na kujionyesha jinsi ulivyo baada ya kuufikia na kuupita...

So kwanini usikubali kuwa future is real mkuu
 
Muda upo kwa sababu upo(akili ya kuujua). Mabadiliko ya kiumbo hayawezi kutuambia ndo muda ila uanaweza kutuambia uasili wa kitu kubadilika form. Kwa ufupi mda si halisia .
 
Muda upo kwa sababu upo(akili ya kuujua). Mabadiliko ya kiumbo hayawezi kutuambia ndo muda ila uanaweza kutuambia uasili wa kitu kubadilika form. Kwa ufupi mda si halisia .
So tukiondoa akili ya kutokuujua tunaweza kuishi nje na muda ?
 
Muda ume kuwepo kwa sababu Binadamu anao ukomo na vyote vinavyo tokana na Binadamu pia vina ukomo ,mfumo mzima wa Maisha ya Binadamu una tegemea muda.Nyakati ni matokeo ya muda sasa ukiutoa muda hapo utabaki na nini Mkuu ?
 
Usisahau ndani ya Muda hua kuna Nafasi

Yaan ukiondoa Muda unabaki na Nafasi

Umenimanyile?

Fanya equalization hapo Kwanza alafu uje
 


Wakale waliishi kwa mazingira yao na wlaitambua muda na vipindi mbali mbali kama vile kutazama kivuli cha Jua kutambua wakati.

Kwa sasa hivi tunaishi kwenye utandawazi mkubwa ,kwa kifupi utandawazi umekuja kutusaidia kwa kurahisisha mambo mengi.
 
Muda ume kuwepo kwa sababu Binadamu anao ukomo na vyote vinavyo tokana na Binadamu pia vina ukomo ,mfumo mzima wa Maisha ya Binadamu una tegemea muda.Nyakati ni matokeo ya muda sasa ukiutoa muda hapo utabaki na nini Mkuu ?
Ni athari gani ambazo tunaweza kuzipata tukiondoa utambuzi huo wa muda ikiwa binadam wa mwanzo hawakuweza kuzipata na waliishi pasipo calculations za muda kama sisi tunavyozijua
 
Wakale waliishi kwa mazingira yao na wlaitambua muda na vipindi mbali mbali kama vile kutazama kivuli cha Jua kutambua wakati.

Kwa sasa hivi tunaishi kwenye utandawazi mkubwa ,kwa kifupi utandawazi umekuja kutusaidia kwa kurahisisha mambo mengi.
Maana yake tumejitengenezea mfumo ambao ni ngumu kuishi nje yake,
Lakini ingewezekana kuishi kama wakale, sindio ?
 
Ni athari gani ambazo tunaweza kuzipata tukiondoa utambuzi huo wa muda ikiwa binadam wa mwanzo hawakuweza kuzipata na waliishi pasipo calculations za muda kama sisi tunavyozijua
Athari zitakazo tokea ni kwenye utendaji wa kila cku wa maisha ya binadam mfano. Hautajua kam imebaki lisaa moja giza liingie. Kwa wanafunzi hautajua sas ni wakat wa kwenda nyumbn
Inshort ile time frame ya kufany kazi au majukum flan itatushinda ku control titarud kweny analogue kam zaman yan mtu unfanya jambo kwa approxmataion bila kuwa na uhakika
 
"3D is nothing thus why the 4D called the dimension of time where at leat we can talk.."

Time ni additinal fourth dimension for mathematical purpose only everything in our existance as we know ni three dimension means kila kinachotuzunguka kuanzia sisi kina urefu(length), upana(width) na kimo(height) hivyo ndivyo 3D body inajengeka.

ukiniuliza time ni nini nitakujibu "Time(muda) ni kipimo kilichobuniwa kupima position(nafasi) ya kitu kwenye space (nafasi)husika" .
means kama hakuna movement ya kitu chochote kwenye space assume dunia yetu ikaacha kujizungusha kwenye muhimili wake means mzunguko wa usiku na mchana havitakuwepo ila upande uliogeukia jua ndo utakuwa mchana na mwengine usiku sasa unadhani tutasema muda (time) umesimama? hapana hii ni kwa sababu kila kitu kwenye uso wa dunia kitakuwa kwenye mwendo wake hii inamaanisha time will continue to exist as a measurement of an object position occupying a certain space.

nikuache na swali "HOW CAN A 3D BEING PROVE THE EXISTANCE OF A 4D BEING ?"

N.B
samahani kwa mtakaokwazika kwa kuwachanganyia vimisamiati vya kwa malkia kwenye lugha yetu adhimu .
 
kwa maelezo yako hasa hapo mwisho unaweza kuelezea ni kwa nini mpaka leo hii pyramid za misri hasa zile zilizopo giza zina mambo mengi ambayo kisayansi bado yanawachanganya?
 
ndo maana mudana na anga vinaka pamoja yani spaceTime, that means one dimension of time and three dimension of space form a 4D,


dilation of time, if weexperiencing the dilattion of time that directly means there is other dimensions ahead.

dejavu and claryvoyances abilities among human individuals


philodephia expetiments
 
dilation of time, if weexperiencing the dilattion of time that directly means there is other dimensions ahead.

dejavu and claryvoyances abilities among human individuals


philodephia expetiments
Time dilation haifanyi kazi kama unavyofikiri , ukisoma kwenye special relativity unakuja kugundua einstein ameongelea time na space as a relatives .hii inamaanisha kila mtu anauhisi muda tofauti kulingana na speed ambayo ana occupy space husika mfano ukipanda kibasi kwenda mkoa jirani na mwenzako akatembea kwa miguu kwenda mkoa huo huo muda kwako utakuwa mdogo kuliko wa huyo anayetembea kwa miguu ingawa mnaelekea sehemu moja hii ni kwa sababu mnatumia speed tofauti kuoccupy space moja na hii ndiyo relative concept ya muda(time) na nafasi (space).

Maelezo yako bado hayaja prove sisi 3d beings tunawezaje ku prove existance ya 4d beings .
 
😂 kwahiyo izo xingine huzioni,haya na ww unasemaje ukiacha estein? The concet of time is more that those human scientific theories, Nimekueekea spiritual factors hapo(quantum enlightment )
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…