Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

Hakuna mwenye jibu sahihi. We twanga tu ali mradi una-make sense brother 😁😁😁
 
Da wanangu tutafute Hela tu hizi nadharia zinachanganya muda ni umilele na haujawahi kusimama hata Dunia itakapofika mwisho bado Muda utaendelea kuwepo
 
Da wanangu tutafute Hela tu hizi nadharia zinachanganya muda ni umilele na haujawahi kusimama hata Dunia itakapofika mwisho bado Muda utaendelea kuwepo
Ni vipi tukisema hakuna kitu kinaitwa muda, bali ni calculations za sisi binadamu kujiwekea taratibu kwaajili ya kuicontroll dunia
 
Kwa mujibu wa Albert Einstein (Relativity Theory) muda ni relative kutokana na frame of refence (hence relativity) na si absolute. Muda ni function ya speed na gravity.

1.Kuuondoa muda kutoka frame yako ya reference inabidi uende kwa spidi ya mwanga katika ombwe
299 792 458 m / s

2. Kitu chochote chenye uzito, hata mdogo kiasi gani, kadiri kinavyozidi kukaribia speed hii, ndivyo uzito wake unavyoongezeka na kukaribia infinity.

3. Hivyo, hakuna kitu chenye uzito, hata mdogo vipi, kinachoweza kufikia spidi ya mwanga katika ombwe 299 792 458 m / s

4. Hivyo, hakuna kitu ambacho kina uzito ambacho kitaweza kuuondoa muda.

5. Kutokea kwa mtazamo wa muale wa mwanga na photon ambayo inakwenda kwa spidi ya mwanga 299 792 458 m / s, muda haupo. Mwanga una experience ulimwengu ambao hauna past wala future, hivyo hauna muda.

Hapa nimeangalia muda kwa relation na speed tu, sijaingia kwenye gravity kubwa kama karibu na black holes.
 
Ni vipi tukisema hakuna kitu kinaitwa muda, bali ni calculations za sisi binadamu kujiwekea taratibu kwaajili ya kuicontroll dunia
Muda unategemea na muangaliaji, kwetu sisi muda upo kwa sababu tuna experience entropy kwa mujibu wa The Second Law of Thermodynamics. Kwa zaidi msome Stephen Hawking katika "A Brief History of Time: From The Big Bang to Black Holes", chapter 9 "The Arrow of Time". (book attached)

Ila, to a ray of light moving at 299 792 458 m / s, muda haupo, kwa maoni yake, photon inatembea bila kutofautisha muda uliopita, uliopo na unaokuja.
 

Attachments


Hebu mkuu nieleweshe ukisafiri wka kasi kwenda wapi? Utashindwa kutofautisha kwa sababu uko speed sana au vipi?

Black hole iko wapi? Kuna mtu amewah kudumbukia huko?

Hizi mambo naonaga kwnye movies za avengers.. hebu nieleweshe tafadhali
 
Mkuu Asante sana kwa maarifa ...
Na vipi kuhusu nyakati
 
Time travel nayo inahusiano gani na real life ya sasa kwakuwa wanasema unaweza kurudi nyuma ama kwenda mbele
 
Time travel nayo inahusiano gani na real life ya sasa kwakuwa wanasema unaweza kurudi nyuma ama kwenda mbele
This is the science on the subject. No conjecture, no science fiction, no speculation. These are scientifically established facts per Relativity.

Ukitaka kuelewa time travel kwa mujibu wa sayansi yetu ya sasa, itabidi uanze na Relativity ya Einstein.

Kwa mujibu wa Relativity ya Einstein.

1. Time is relative, not absolute.
2. Time is relative to space (the observer), speed and gravity.
3. For an object with mass, however small, per relativity, going backwards in time is impossible. Because that will involve going faster than the speed of light. Approaching the speed of light for any massive object means approaching infinity mass, which will require infinity energy.

So first you need to stop time before going back in time. Stopping time = going at the speed of light. Approaching the speed of light for any massive object equals approaching infinity mass. As you approach infinity mass, moving even at very small speed will require infinity energy. So, time travel backwards is impossible because it needs infinite energy.

4. Time travel to the future is easire by using time dilation. If you have twins whose birthdate is the same day, you take Doto and put him in a spaceship that goes at 80% the speed of light to go to Proxima Centauri, the nearest star, Doto could spend 12 years going to Proxima Centauri and back to earth, only to find that the 12 years Doto spent on the spaceship are equal to 120 years on earth because of time dilation (figures not to scale)

If Kulwa and Doto were both 20 years old today 2022 when Doto left earth, Doto would return to earth at 32 years old, only to find earth in the year 2122. To Doto, 12 years have passed, to earth, 100 years have passed.

Here is a chart of time dilation per percent of the speed of light



Here is a link to the page Time Dilation at Low Speeds - Relativity when flying
 
Sijamaliza yote ila all in all time is illusion
 
Haha nimekubaliana na wewe mkuu,huo mfano uliotumia nimfano hai
 
Mkuu ulishawahi kuitazama series ya The flash, kuna namna waliifanya kuonyesha uwezekano wa kurudi nyuma na iliwezekana...
 
hakuna kitu kina itwa future , future ni illusion tu , mambo wakati sahihi ni sasa , ukishasema nitanunua gari tayari umetengeneza illusion kwenye kichwa chako sio reality , ninanunua gari ndio jambo la kwel fture nikuudanganya ubongo wako tu .
 
hakuna kitu kina itwa future , future ni illusion tu , mambo wakati sahihi ni sasa , ukishasema nitanunua gari tayari umetengeneza illusion kwenye kichwa chako sio reality , ninanunua gari ndio jambo la kwel fture nikuudanganya ubongo wako tu .
Wakati ujao ni wakati baada ya zamani na sasa. Kufika kwake is considered inevitable due to the existence of time na sheria za kifizikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…