Tukio usilolisahau ukiwa Primary School

Tukio usilolisahau ukiwa Primary School

super mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
223
Reaction score
173
Nakumbuka nikiwa darasa la tano hivi kuna siku mimi na rafiki yangu tukiwa darasani tulikuwa tunapeana zamu ya kumkumbatia kimahaba mdada mmoja ambaye pia alikuwa ni mwanafunzi mwenzetu..tulifanya vile kwa muda mrefu mara nikiwa ktk harakati za kumchezea yule mdada nikafumaniwa na madam wa kiswahili...daah ilikuwa bonge la msala ...kweli sitosahau....karibun wadau
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nakumbuka nikiwa darasa la tano hivi kuna siku mimi na rafiki yangu tukiwa darasani tulikuwa tunapeana zamu ya kumkumbatia kimahaba mdada mmoja ambaye pia alikuwa ni mwanafunzi mwenzetu..tulifanya vile kwa muda mrefu mara nikiwa ktk harakati za kumchezea yule mdada nikafumaniwa na madam wa kiswahili...daah ilikuwa bonge la msala ...kweli sitosahau....karibun wadau
Nakumbuka siku Ile tulifungiwa ofisini kutwa mzima kisa tulimuuliza msichana 1 ivi Kua umuwai kutembea na mwanaume Japo tulitumia luga ya matusi umu nisije pigwa burn na mod Daah jioni tukaitwa mbele ya assemble tulilambwa stick 6 kila m1 sisahau ad Leo Daah utoto bwana
 
Nilisoma shule ya kijijini sana kiasi kwamba kuvaa nguo yeyote haikua tatizo, uniform ilikua ni anasa, viatu ukivaa unaonekana kama mtoto wa Trump.
Nikajikusanyia masalia ya mahindi kwenye mashamba ya watu baada ya kuvuna, nikauza. Nikaenda kununua viwalo, kaptula nyeusi, shati la blue, mkanda na kandambili (Malapa).

Kesho yake kwa kutaka kuzoa ujiko nikapiga pamba zangu kwenda darasani, Baba alikua mwalimu mkuu na tayari alikua darasani anafundisha, alivyoniona tu mlangoni, nilichezea ngumi, mateke, bakora mithili ya mbwa mwizi. Kosa la kwanza nimechelewa kuja darasani, Pili na baya zaidi, sijavaa uniform kwa makusudi, nilipigwa balaa.

Baada ya hapo akanichagua kusoma paragraph alikua anatufundisha kiingereza (English), nikisoma na zile hasira, najikuta nalia nashindwa kusoma, ananishushia dozi havy, nilinyamaza na kujitahidi kumalizia kusoma.
 
Nakumbuka nikiwa darasa la sita, rafiki angu alikua kiranja basi siku moja akawa anamwambia dogo mmoja wa darasa la 3 afagie akawa anagoma na matusi juu.
Basi kidogo tumtie makofi dogo anasema hamniwezi ikabidi nimwambie jamaa amuache, dogo akasepa basi kufika saa 9 taarifa ikaja yule dogo amekutwa amefariki kwenye dimbwi daah,!! Nikawaza what if tungemgusa ukute ndo tungeua sie dah mpaka leo mi kupiga mtu mwiko.
 
Mi nakumbuka kuanzia darasa la kwanza hadi la nne sikuwa navaa viatu. Sasa wakati wa kiangazi muda wa saa nane parade mchanga ulikuwa unaniunguza nyayo kinooma. Nilijikuta napiga makitamu bila kuambiwa.
 
Niliwahi kumuwekea kipande cha kioo chini dada mkuu ili nione kavaa chupi ya rangi gani, Aiseee kipigo nilichopata siku hiyo huwa sisahau ,kwa sababu nilifungiwa ofisin walipiga walimu wote siku hiyo.
 
Daaaah nikiwa monita kuna demu alileta jeuri kisa kanizoe basi mzee nilimnyonyaga mate darasa zima likashuhudia tokea hapo wasichana wote wakawa na adabu kwangu.
 
Duuuuuh nakumbuka nikiwa darasa la tatu uncle aliniletea kimfuko cha sport chekundu toka dar mi enzi izo niko village ...kwenda shule nikapewa umonitor
 
Mi nakumbuka nilikua mtoro sana shule sasa ikafika mtihani wa darasa la nne ile naingia chumba cha mtihani tukapewa answer sheets zimeandikwa swali, kazi. Jibu. dah nilipagawa sana niaona ndo vitu gani sasa ivi kumbe wenzangu walishafundishwa kutumia. BTW nilifaulu ule mtihani nilijiongeza kwa chabo nikajua cha kufanya
 
mid mwalimu alikua akiniudhi nawahi ofxn kwake mapema naweka unga wa mahindi kwny meza yake, basi akija anashtuka kuwa amerogwa/amewangiwa...alikuwa hakai na hakuna aliyesogelea meza hiyo kutwa nzima...alikuwa anatia huruma jamani dah
 
Niliwahi kumuwekea kipande cha kioo chini dada mkuu ili nione kavaa chupi ya rangi gani, Aiseee kipigo nilichopata siku hiyo huwa sisahau ,kwa sababu nilifungiwa ofisin walipiga walimu wote siku hiyo.
Mkuu hiyo noma si tulikuw tunawaangalia madem kweny vioo afu tunawaandika ubaon kila MTU na rang ya chupi yake
 
Back
Top Bottom