Washaitengenezea movie tayari mbona inaitw...The Hatton Garden Job..
Habari yake ilivyotoka Kwenye SKY News ilikuwa shocked kweli..
Ila wanavyodai hao wazee walikuwa wanamjua ila hawakutaka kumtaja Jamaa..
Nilivyoona hili tukio nikakumbuka mkuu nikajua tu lazima utalileta maana linahitaji uweledi flani wa kulielezea..
Ila hii movie Kama ingechezwa na Wamarekani nahisi ingekuwa tamu zaidi.
Waingereza wazuri kwa Documentary sio kwa movies Kama hizo.
...Keep it up Bro! The Bold.