Tukio Lisilosahaulika Kwenye Daladala

Tukio Lisilosahaulika Kwenye Daladala

Zamani nikiwa form 2 au 1 kuna cousin sister wangu alifariki. Alinizi umri na alikuwa ameolewa. Tulikuwa tunaishi eneo moja ila tunashukia vituo tofauti vya bus la mzunguko.
Siku hio natoka shule kufika kituo ambacho huyo sister alikuwa anakaa nikamwona anashuka na akanisalimia.( Hapo ni kama miezi 6 tangu afariki). Basi nikaendelea na safari yangu. Nilikuja kushtuka baada ya siku tatu kupita kuwa yule niliemuona mbona alishafariki zamani? Hadi leo sisahau na sina jibu.
Uliona Ghost
 
Majini wanaweza kuchukua umbile/sura ya mwanadamu, mnyama na hata wadudu.

Nilishashudia ndugu yangu akipewa lifti ya gari na jini.

Majini wapo na tunaishi nao kwenye maisha yetu ya kila siku. Tena wanaishi uhai mrefu kuliko sisi. Jini anaweza kuishi hadi miaka 1000- 1500.Hivyo anaweza kushuhudia vizazi vyenu kati ya 5-10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom