MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 547
Tukio gani Hauwezi kulisahau kabisa maishani mwako na limekuachia fumbo kubwa sana.
Mie nilimalizaga chuo nikapata kazi Mahalia Fulani mkataba ukaisha nikawa natafuta kazi muda sio muda zikatokea kazi 3 kwa wakati mmoja na zenye mshahara mzuri maskini ya Mungu mie si nikapotezea nikisubiri kuna sehemu kuna donge nono niliahidiwa na pedeshee mmoja.
Nyoo mbona nilikosa vyote.
Niambie Tukio gani hauwezi kusahau maishani.?