bepari la kichaga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 528
- 516
Mwandiko au ni lugha ndo mbovuu???Una ujumbe mzuri ila mwandiko mkuu...tatizo mwandiko...edit may be utaeleweka, tunapata shida kusoma mkuu
Mwandiko au ni lugha ndo mbovuu???Una ujumbe mzuri ila mwandiko mkuu...tatizo mwandiko...edit may be utaeleweka, tunapata shida kusoma mkuu
sawa broAcha ujinga, kwani amekwambia yeye ni wa kanda ya ziwa???
ahahaaaCCM yatutesa jamani demu kaniacha kisa choo cha jirani yangu kina Bendera ya chama mlangoni
Umejibu kiungwana mdogo wangu...I lyk yusawa bro
ahsante sana ndugu yangu, hata siku ukiona kuna sehem nimejib vibaya nichane tu kaka, ndiyo maisha haya.Umejibu kiungwana mdogo wangu...I lyk yu
Maombi yanaitajika saana hadi kufikia kufa na kuzikanaKiumbe rahisi kabisa kutumiwa na shetani ni Mwanamke.....sio wao ni Ibilisi..
Anajua macalculation kwa sana, miandiko mpe mwalimu.Ukisomea hayo matelecommunication ndio unaandika kama kapita bata!
na wewe umeandika nini sasa?Kwani hamjui mambo lafudhi kwa baadhi ya watu wa maebeo flan hapa tz??? Take easy
hajafika huyukuna mengi ya kujifunza katika hili bandiko lako lakini ni kweli umefika ngazi ya elimu ya juu?
..kwenye A anaweka HBefore you love anyone, love your self first!
Yan unampenda mtu alaf kila siku unalia, are you dating a human or an onion?
By the way, huu uandish ulikusudia au ndo stress?