Tukio Liko Live: Kongamano la Kimaendeleo-Manispaa ya Bukoba!

Live kupitia channel gani? Hizo namba ulizotaja hapo sijaelewa nikijiunga nitakuwa live kupitia nini? Ufafanuzi tafadhali
 
KAKA Kimasha
vipi uchaguzi wa meya wa Bukoba umeisha !! nani meya na nani naibu meya nawatakieni mkutani mwema na lwakatare pia naona ameanza vizuri kwa kuleta michango kutoka wana bukoba wote hii ni muhimu kwa maendeleo ya bukoba
 
Back
Top Bottom