lopinavir
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 187
- 121
Muda wa saa mbili kamili usiku(25/3/2016),Majambazi yamevamia duka na kuiba pesa ambazo hazijafahamika ni kiasi gani,wameua dereva boda boda mmoja na majeruhi watatu wamekimbizwa hospitali ya bugando....
-Polisi wamefika baada ya dakika 20 na kukuta majambazi yameshaondoka...
-Zimepigwa risasi kadhaa hewani
-IGP tunakuomba pambana na hawa watu maana wamezidi .....!
-Polisi wamefika baada ya dakika 20 na kukuta majambazi yameshaondoka...
-Zimepigwa risasi kadhaa hewani
-IGP tunakuomba pambana na hawa watu maana wamezidi .....!