Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?'
Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini.
Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi vema kiasi cha mmoja kushindwa kuvumilia kutoweka kwa mwenzake.
Nafarijika kuona huku mtaani wengi tunaishi vema kabisa na ndo maana ukienda kule Kilwa ambako Waislamu ni 99% kuna 1% ya Wakristo wapo miaka na miaka.
Humu JF, kwa great thinkers, siku hizi kumetamalaki vita kubwa sana ya udini, matukio kama haya yatusaidie kuufuta huo udini.