Uchaguzi 2020 Tukio la Nyamongo lilivyozima shughuli ya Iringa

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Nadhani Chama tawala wanakwama kwenye mikakati, nadhani dola inawaangusha wakiwa na Jambo lao.

Leo tukio la Polisi Nyamongo limechukua headlines social media nakufunika kampeni za Iringa zilizoandaliwa for five days. Hii kwenye siasa haitokei bahati mbaya, aidha Mwenyenzi Mungu anawachapa au binadamu wanawahujumu.

Ukikosea kwenye TIME and TIMING, Strategicaly umekwisha. Tunazidi kupotea kwenye ramani, gharama za kuzoa watu wilayani kuwapeleka mjini na kutumia wanafunzi mwisho wake ndo huu.

Siyo wakati wote dola inasaidia wakati wa uchaguzi dola ukasirisha zaidi wapiga kura.

NYAMONGO vs IRINGA
 
Nyamongo sio sehemu ya kupiga watu mabomu ya machozi bila sababu, hilo ni eneo la upinzani, wale jamaa kule hawatishwi kabisa na hayo mabomu, CCM wafanye siasa waache uoga na mbinu za kishamba, na yule mwenyekiti wa NEC nae afanye kazi yake sio kuisaidia CCM.

Sasa inaonesha wazi CCM wamezidiwa na mgombea wao wa urais anaijua hali yake ni mbaya, nasisitiza wote waliokamatwa kule Nyamongo leo waachiwe huru, polisi waache uonevu.
 
Nikiwaambia watu kwamba Tundu Lissu anaenda Ikulu Kama mchezo mchezo vile hawaelewi.

Yaani mwaka huu kila kitu kimeshakamilika na kupangwa ndio maana wabishi bado tunawacheck tu.

Lissu ndiye Rais wa JMT kuanzia October 2020.
Sisi tunawachora tu wanavyohangaika.

Every move is well calculated. Walituzima miaka mitano wakatupa muda wa kutosha kujipanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom