Kiba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 459
- 62
Habarini za asubuhi wana jf.
Katika kile nilichokutana nacho asubuhi ya leo ambacho pia sitaweza kusahau ni baada ya kufika katika kijiji cha Mwaburugu mji mdogo wa Lamadi wilayani Magu na kukuta wakazi wote wa kijiji hicho ktk uwanja wamekaa ndipo nikauliza kulikoni ?
Ndipo nikamshuhudia mtu aliyefariki juzi usiku na mwili wake kuhifadhiwa katika hisptali ya Mkula iliyopo nje mji huu mdogo wa lamadi kuwa Amerudi nyumbani leo alfajiri na mipango ya mazishi ilikuwa inaendelea na mazishi yalikuwa yafanyike leo.
Hapa wanajiandaa kwenda kuleta mwl hospitali ili ijulikane kulikoni.
Kwa walio karibu karibuni mshuhudie live pale mwili utakaporipoti majira ya mchana .
Nipo eneo la tukio.