Tukio la kutisha limetokea Lamadi, aliyekufa aonekana akiwa hai...

Kiba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
459
62
Habarini za asubuhi wana jf.
Katika kile nilichokutana nacho asubuhi ya leo ambacho pia sitaweza kusahau ni baada ya kufika katika kijiji cha Mwaburugu mji mdogo wa Lamadi wilayani Magu na kukuta wakazi wote wa kijiji hicho ktk uwanja wamekaa ndipo nikauliza kulikoni ?
Ndipo nikamshuhudia mtu aliyefariki juzi usiku na mwili wake kuhifadhiwa katika hisptali ya Mkula iliyopo nje mji huu mdogo wa lamadi kuwa Amerudi nyumbani leo alfajiri na mipango ya mazishi ilikuwa inaendelea na mazishi yalikuwa yafanyike leo.

Hapa wanajiandaa kwenda kuleta mwl hospitali ili ijulikane kulikoni.

Kwa walio karibu karibuni mshuhudie live pale mwili utakaporipoti majira ya mchana .
Nipo eneo la tukio.
 
Kiba m,akubwa haya nakuomba unijulishe kitakachoendelea eeeee i wish i coudl see 8wonders of the world tanzania tukiwezeshwa tunaweza
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo huyo jamaa aliyefariki kwa sasa naye yuko msibani anasubiria aone mwili wake ukiletwa na kwenda kuzikwa?

yupo.
Hila kutokana na mamia ya watu wanataka kumwona wamemfungia ndani kwa muda huu hadi mwili Ufike.
 
habarini za asubuhi wana jf.
Katika kile nilichokutana nacho asubuhi ya leo ambacho pia sitaweza kusahau ni baada ya kufika katika kijiji cha mwaburugu mji mdogo wa lamadi wilayani magu na kukuta wakazi wote wa kijiji hicho ktk uwanja wamekaa ndipo nikauliza kulikoni ?
Ndipo nikamshuhudia mtu aliyefariki juzi usiku na mwili wake kuhifadhiwa katika hisptali ya mkula iliyopo nje mji huu mdogo wa lamadi kuwa amerudi nyumbani leo alfajiri na mipango ya mazishi ilikuwa inaendelea na mazishi yalikuwa yafanyike leo.

Hapa wanajiandaa kwenda kuleta mwl hospitali ili ijulikane kulikoni.

Kwa walio karibu karibuni mshuhudie live pale mwili utakaporipoti majira ya mchana .
Nipo eneo la tukio.

ni kweli mkuu??
 
Hapa hakuna uongo hata kidogo wakuu kwa sasa wanafanya mawasiliano na kamanda wa Mkoa huu mpya wa Simiyu ili aje kutoa maelezo.
 
Habarini za asubuhi wana jf.
Katika kile nilichokutana nacho asubuhi ya leo ambacho pia sitaweza kusahau ni baada ya kufika katika kijiji cha Mwaburugu mji mdogo wa Lamadi wilayani Magu na kukuta wakazi wote wa kijiji hicho ktk uwanja wamekaa ndipo nikauliza kulikoni ?
Ndipo nikamshuhudia mtu aliyefariki juzi usiku na mwili wake kuhifadhiwa katika hisptali ya Mkula iliyopo nje mji huu mdogo wa lamadi kuwa Amerudi nyumbani leo alfajiri na mipango ya mazishi ilikuwa inaendelea na mazishi yalikuwa yafanyike leo.

Hapa wanajiandaa kwenda kuleta mwl hospitali ili ijulikane kulikoni.

Kwa walio karibu karibuni mshuhudie live pale mwili utakaporipoti majira ya mchana .
Nipo eneo la tukio.

Sasa,marehemu anazungumziaje msiba huo?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom